AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Kazi kweli kweli. Mwisho mtasikia mtori nao unaleta kitambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navyopenda walii sijui kama itawezekanaa mi labda unizuie kula ugali hapo naweza kabisaa
Kitu ambacho watu wengi tumekuwa tukifichwa ni kwamba Wali sio mzuri kwa watu tunaotaka kupunguza kitambi au kupunguza uzito kwasababu zifuatazo.
1. Wali una sukari ambayo ikienda mwilini inakuwa kama mafuta ya energy. Mafuta haya yakiwa mengi na haitaji kutumika yanawekwa kwenye store! ambayo ni tumbo na hips.
2. Wali ukifika tumboni una umuka hivyo unafanya tumbo liwe kubwa
3. Wali unazuia system ya mwili kufanya kazi vizuri hasa kwenye choo. Hivyo uchafu mwingi unabaki mwilini na kusababisha njia za utumbo kuwa ndogo. Ndiyo maana una pata choo kidogo ukila wali sana
Ndiyo maana watu wenye kisukari wanaambiwa wasile wali na kama unataka kupunguza uzito haraka acha kabisa wali.
Ugali rahisi kuacha lakini sio wali[/QUOTE
Halafu wajanja kweli vitu vitamu ndio vina madhara na vinapendwaa na wengii
Wali siachi ugali naweza Acha...
Kitu ambacho watu wengi tumekuwa tukifichwa ni kwamba Wali sio mzuri kwa watu tunaotaka kupunguza kitambi au kupunguza uzito kwasababu zifuatazo.
1. Wali una sukari ambayo ikienda mwilini inakuwa kama mafuta ya energy. Mafuta haya yakiwa mengi na haitaji kutumika yanawekwa kwenye store! ambayo ni tumbo na hips.
2. Wali ukifika tumboni una umuka hivyo unafanya tumbo liwe kubwa
3. Wali unazuia system ya mwili kufanya kazi vizuri hasa kwenye choo. Hivyo uchafu mwingi unabaki mwilini na kusababisha njia za utumbo kuwa ndogo. Ndiyo maana una pata choo kidogo ukila wali sana
Ndiyo maana watu wenye kisukari wanaambiwa wasile wali na kama unataka kupunguza uzito haraka acha kabisa wali.
Asante mdau, me wali nilishaacha nakula mara chache sana na imekuwa rahisi kwakuwa si mpenzi wa wali, ila napenda sana sana sana ugali, vipi kuhusu ugali hauna shida kwenye maswala ya uzito na tumbo?
Naomba kuuliza wewe ni mrs mla leo au leo peke yake?
hupendi wali? wali ni noma hauchukiiki... pake tu ndio anaweza upotezea lakini anaupenda sababu huwa akila anakohoa sana... lakini Ndege,Samaki,Panya n.k Mwendo mdundo....
utakuwa wewe kabila lako ni MsukumaMe si mpenz wa wali kabisa hata nisipoula mwaka sitashtuka kabisa ila ugali siwez kupitisha cku 2 bila kuula
utakuwa wewe kabila lako ni Msukuma
Kitu ambacho watu wengi tumekuwa tukifichwa ni kwamba Wali sio mzuri kwa watu tunaotaka kupunguza kitambi au kupunguza uzito kwasababu zifuatazo.
1. Wali una sukari ambayo ikienda mwilini inakuwa kama mafuta ya energy. Mafuta haya yakiwa mengi na haitaji kutumika yanawekwa kwenye store! ambayo ni tumbo na hips.
2. Wali ukifika tumboni una umuka hivyo unafanya tumbo liwe kubwa
3. Wali unazuia system ya mwili kufanya kazi vizuri hasa kwenye choo. Hivyo uchafu mwingi unabaki mwilini na kusababisha njia za utumbo kuwa ndogo. Ndiyo maana una pata choo kidogo ukila wali sana
Ndiyo maana watu wenye kisukari wanaambiwa wasile wali na kama unataka kupunguza uzito haraka acha kabisa wali.
Dada, brown rice ina fibres. Unashiba haraka na unapata less carbs. Binafsi napenda na natumia brown rice. Dietician anashauri a cup size kwa mlo inatosha, na moto iwe kubakisha wali badala ya mboga.
unapatikana wapi huu mchele mwekundu?
Jamani tule nini sasa?Utaambiwa eti kula mboga mboga na matunda kwa wingi sasa watu wataishi kwa mbogo mboga na matunda? Utaambiwa eti kula dona achana na sembe lakini si kila mmoja anakaa karibia na mashine za kusaga.Mfano mimi nakaa Oysterbay Dar pale mashine za kusaga ni issue sasa itabidi ili nile dona nikanunua unga wa dona dukani na kwa utafiti wangu unga wa dona wa dukani ni hatari kuliko huo wa sembe kwa sababu mahindi wala hayaoshwi yanasagwa tu.In short tule nini sasa? Mbona zamani wazee wetu walikuwa wanakula nyama hizi hizi za ng'ombe hawakuwa wanaugua kama sasa hivi
Exactly what I was talking about, hii biashara ya kusema watu waache kula hiki sijui kile doesn't make any sense to me thou nakubali kuna vyakula vina madhara fika na havina faida kabisa kwa mwili hivyo vyapaswa kuachwa lakini ni vichache sio vyote