Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

Navyopenda walii sijui kama itawezekanaa mi labda unizuie kula ugali hapo naweza kabisaa
 
Kitu ambacho watu wengi tumekuwa tukifichwa ni kwamba Wali sio mzuri kwa watu tunaotaka kupunguza kitambi au kupunguza uzito kwasababu zifuatazo.

1. Wali una sukari ambayo ikienda mwilini inakuwa kama mafuta ya energy. Mafuta haya yakiwa mengi na haitaji kutumika yanawekwa kwenye store! ambayo ni tumbo na hips.
2. Wali ukifika tumboni una umuka hivyo unafanya tumbo liwe kubwa
3. Wali unazuia system ya mwili kufanya kazi vizuri hasa kwenye choo. Hivyo uchafu mwingi unabaki mwilini na kusababisha njia za utumbo kuwa ndogo. Ndiyo maana una pata choo kidogo ukila wali sana
Ndiyo maana watu wenye kisukari wanaambiwa wasile wali na kama unataka kupunguza uzito haraka acha kabisa wali.

Asante mdau, me wali nilishaacha nakula mara chache sana na imekuwa rahisi kwakuwa si mpenzi wa wali, ila napenda sana sana sana ugali, vipi kuhusu ugali hauna shida kwenye maswala ya uzito na tumbo?
 
naungana na wewe, ni kweli kwamba wali una starch nyingi ambayo baada ya digestion unakuwa glucose ambayo inakuwa converted into fat na kuwa stored in the body. Lakini si kweli kwamba ukila wali unaumuka tumboni hii si kweli. Na kweli wengi wetu tunapenda sana kula wali ila tupende kula vya mchanganyiko vyenye mboga mboga na matunda kwa wingi, kiasi cha protein na wanga kikiwa ni 30%, na mboga mboga na matunda vikiwa ni 70%
 
Dah sasa tule nini jamani maana mtasikia hata maji yana madhara

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Asante mdau, me wali nilishaacha nakula mara chache sana na imekuwa rahisi kwakuwa si mpenzi wa wali, ila napenda sana sana sana ugali, vipi kuhusu ugali hauna shida kwenye maswala ya uzito na tumbo?

Naomba kuuliza wewe ni mrs mla leo au leo peke yake?

hupendi wali? wali ni noma hauchukiiki... pake tu ndio anaweza upotezea lakini anaupenda sababu huwa akila anakohoa sana... lakini Ndege,Samaki,Panya n.k Mwendo mdundo....
 
Me si mpenz wa wali kabisa hata nisipoula mwaka sitashtuka kabisa ila ugali siwez kupitisha cku 2 bila kuula
 
Tatizo hapa ni lishe bora (nutrition). Punguza vyakula vya wanga kama ugali na wali.jaribu kula mboga mboga, matunda na vyakula nya protein. Kimsingi mlo wako unatakiwa uwe zaidi na vyakula hivyo na wanga kidogo sana. Kama kitambi kwako ni tatizo Mimi ni vurutubisho ambayo vinawea kuondoa kitambi au unene uliokithiri kwa muda mfupi. Hizi ni bidha za foreeverliving products wengi wamezitumia wameona matokeo yake. Unaweza nitafuta nikakuleza zaidi
 
Kitu ambacho watu wengi tumekuwa tukifichwa ni kwamba Wali sio mzuri kwa watu tunaotaka kupunguza kitambi au kupunguza uzito kwasababu zifuatazo.

1. Wali una sukari ambayo ikienda mwilini inakuwa kama mafuta ya energy. Mafuta haya yakiwa mengi na haitaji kutumika yanawekwa kwenye store! ambayo ni tumbo na hips.
2. Wali ukifika tumboni una umuka hivyo unafanya tumbo liwe kubwa
3. Wali unazuia system ya mwili kufanya kazi vizuri hasa kwenye choo. Hivyo uchafu mwingi unabaki mwilini na kusababisha njia za utumbo kuwa ndogo. Ndiyo maana una pata choo kidogo ukila wali sana
Ndiyo maana watu wenye kisukari wanaambiwa wasile wali na kama unataka kupunguza uzito haraka acha kabisa wali.

Jamani tule nini sasa?Utaambiwa eti kula mboga mboga na matunda kwa wingi sasa watu wataishi kwa mbogo mboga na matunda? Utaambiwa eti kula dona achana na sembe lakini si kila mmoja anakaa karibia na mashine za kusaga.Mfano mimi nakaa Oysterbay Dar pale mashine za kusaga ni issue sasa itabidi ili nile dona nikanunua unga wa dona dukani na kwa utafiti wangu unga wa dona wa dukani ni hatari kuliko huo wa sembe kwa sababu mahindi wala hayaoshwi yanasagwa tu.In short tule nini sasa? Mbona zamani wazee wetu walikuwa wanakula nyama hizi hizi za ng'ombe hawakuwa wanaugua kama sasa hivi
 
Dada, brown rice ina fibres. Unashiba haraka na unapata less carbs. Binafsi napenda na natumia brown rice. Dietician anashauri a cup size kwa mlo inatosha, na moto iwe kubakisha wali badala ya mboga.

unapatikana wapi huu mchele mwekundu?

Hii thread ukianza nayo mpaka ukamaliza nayo, hakuna chakula kilichobaki. Kama ngoma inavyoepukwa kwa kutokufanya, basi kitambi/unene unaepukwa kwa kutokula.
 
hebu tuondolee mbwembwe hapa.
unga wa dona unauzwa supermarket alongside nyanya na mchicha.
Jamani tule nini sasa?Utaambiwa eti kula mboga mboga na matunda kwa wingi sasa watu wataishi kwa mbogo mboga na matunda? Utaambiwa eti kula dona achana na sembe lakini si kila mmoja anakaa karibia na mashine za kusaga.Mfano mimi nakaa Oysterbay Dar pale mashine za kusaga ni issue sasa itabidi ili nile dona nikanunua unga wa dona dukani na kwa utafiti wangu unga wa dona wa dukani ni hatari kuliko huo wa sembe kwa sababu mahindi wala hayaoshwi yanasagwa tu.In short tule nini sasa? Mbona zamani wazee wetu walikuwa wanakula nyama hizi hizi za ng'ombe hawakuwa wanaugua kama sasa hivi
 
Exactly what I was talking about, hii biashara ya kusema watu waache kula hiki sijui kile doesn't make any sense to me thou nakubali kuna vyakula vina madhara fika na havina faida kabisa kwa mwili hivyo vyapaswa kuachwa lakini ni vichache sio vyote

Ukiacha kula gafla unanenepa kwa vile mwili utajua kuna tatizo (la kiuchumi) so ita weka akiba kwenye form ya mafuta.
 
Back
Top Bottom