Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

nadhani tuzungumzie kiasi (calories, gr. etc.) mtu anachotakiwa kula kulingana na shughuli anazofanya, umri, etc.
 
Si Utani... ukikubali au ukikataa eeh.. ukikubali au ukikataa hiyo ndio hali halisi.... Pole sana kama umekwazika...

wala sijakwazika ugali ndo utamaduni wetu ndo mana unaona wasukuma ndo watu wenye nguvu zaidi duniani
ukitaka kumfukuza usipike ugali mwezi ataondoka mwenyewe
 
hebu tuondolee mbwembwe hapa.
unga wa dona unauzwa supermarket alongside nyanya na mchicha.
Hujanisoma vizuri nimesema kuwa unga wa dona wa dukani ni risk maana huwezijua namna wanavouandaa eg mahindi yanaweza yakawa yalipigwa dawa lakini wakayasaga hata bila kuosha so kwa mtu ambae anakaa Oysterbay ni issue maana kule hakuna mashine za kusaga kama huku kwetu Buhendangobo wilayani Ngara
 
wala sijakwazika ugali ndo utamaduni wetu ndo mana unaona wasukuma ndo watu wenye nguvu zaidi duniani
ukitaka kumfukuza usipike ugali mwezi ataondoka mwenyewe

mmmh hizo takwimu za watu wenye nguvu zaidi duniani umezitolea wapi mkuu? ina maana hata The World's Strongest man Mark Henry naye ni Msukuma?

mmmh hizo takwimu za watu wenye nguvu zaidi duniani umezitolea wapi mkuu? ina maana hata The World's Strongest man Mark Henry naye ni Msukuma?

hahahahahahaa yawezekana ana asili ya huku huwezi jua
ukitaka kuthibitisha power ya wasukuma angalia wanavyomanage shughuli zinazohitaji nguvu hii sio kwa wanaume tu hata wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…