Tatizo la kuahirisha mambo

Bro nahisi kuna vitu vidogo vidogo sana vinavyoshika haramu in your plans,viache hivyo you will thank me
Yap na mimi nimeliona hilo, unaweza amka asubuhi na mipango lukuki, ila kitu kidogo tu kika trigger plan zote. Distractions inaweza kuwa kitu kidogo kama kupokea simu ya mtu, au notifications kwenye simu. Hasa simu nataka niwe naiweka airplane mode.
 
Hilo ni tatizo la kiroho. Piga maombi sana, pamoja na kufunga, hilo tatizo litakwisha.
 
Tatizo sio kuahirisha ila huna hela ya kuajiri mtu wa kuzifanya hizo kazi. Tafuta pesa ndugu
 
Mimi nimeshindikana!!! KITU kimoja kinacho nisaidia nikifanya kazi Kwa HARAKA INAKUWA PERFECT.
 
Kwamba umetambua tatizo na kuomba msaada, ni step namba moja ya ushindi! Weka malengo, binafsi nadhani deadline itakusaidia, kusudi hata ikipita, ujisikie una deni! Pia ungekuwa na mtu wa kukushtua inaweza saidia!

Ila jua hauko peke yako. Hata mimi ninalo hilo tatizo, sema mimi deadline ikikaribia, nakuwa na presha kali ambayo hunipa nguvu ya kufanya kazi kama mara mbili ya kawaida, na mara nyingi nimeweza ku-beat deadline!

Kila la heri.
 
Hapo kwenye malengo ni vyema yakawa na deadline, deadline humfanya mtu aone kuwa yuko nyuma ya muda na kumfanya aharakishe mchakato. Ndio Maana shuleni au hata makazini tunapewa deadline ili tufanya kazi within time.

Ila Jambo la msingi ni kuwa na malengo, ila katika hayo malengo ni bora ukayavunja vunja katika malengo madogo madogo yatakayo timizwa kila siku ili kutumiza lengo kubwa.

Ndipo sasa kwenye hayo malengo madogo madogo tengeneza ratiba ya kila siku kutimiza huku ukiwa na “to do list” ya kila siku.

Katika kumalisha hilo kuna kanuni inaitwa “two minutes rule “ ambayo inakutaka kufanya Jambo unalo taka kufanya ndani ya dakika 2 mara tu unapo fikiria kufanya Jambo hilo (mf. Ukitaka kupiga simu kwa mteja, fanya hivyo ndani ya dakika 2 tangu ulipo kumbuka hilo wazo na ili usighairishe) hii imesaidia sana.

Jambo lingine ni kuwa na accountability partner , huyu ni mtu ambaye unamchagua ili kuithibiti hali yako ya kughairisha mambo, hivyo mtu huyu utakuwa una mpa mipango yako unayo tamani kuitimiza and Huyo mtu atakuwa anakusimamia (kuku kumbusha).

Naamini hii itasaidia Mkuu

Welcome to the Nation Of The People (Limbu Nation Builders Company Limited) kwaajili ya shughuli zote za ujenzi.
 
Una mental /neurodevelopmental disorder inayokusumbua, either ni ADHD au ni Depression/anxiety/ocd et. ukitibu hizi conditios utakua sawa. Yoyote anaesema we ni mvivu bora anyamaze akae kimya maana utamu wa ngoma hauujui mpaka uingie ucheze
 
Una mental /neurodevelopmental disorder inayokusumbua, either ni ADHD au ni Depression/anxiety/ocd et. ukitibu hizi conditios utakua sawa. Yoyote anaesema we ni mvivu bora anyamaze akae kimya maana utamu wa ngoma hauujui mpaka uingie ucheze
I believe inaweza kuwa rooted na hizo mambo ila kwangu sio chronic kivlie. Anyways nyajaribu kuzingatia peave of mind and mental clarity na routines kama wengine walivyo sema.
 
Asante nitalifanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…