de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
- Thread starter
- #41
Yap na mimi nimeliona hilo, unaweza amka asubuhi na mipango lukuki, ila kitu kidogo tu kika trigger plan zote. Distractions inaweza kuwa kitu kidogo kama kupokea simu ya mtu, au notifications kwenye simu. Hasa simu nataka niwe naiweka airplane mode.Bro nahisi kuna vitu vidogo vidogo sana vinavyoshika haramu in your plans,viache hivyo you will thank me