Tatizo la kuanguka ghafla

Tatizo la kuanguka ghafla

Najua mbwa wapo utawagegeda haina shida

IMG_1399.jpg

[mention]CityHunter1 [/mention] akivizia wanaume wenzie
 
Pole yake .Jaribu kufuata ushauri wa wadau hapo juu.
Dah kuna watu wanaish katika mateso makali sana.Mungu atunusuru
 
aende hospital aonane na specialist wa magonjwa ya ndani au cardiologist mana hapo inaweza kuwa syncope au arrythymias so maswala ya ECHO na ECG yatamhusu na issue nyingine watakazosema hao mabingwa
 
Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya.
Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada.
Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si kifafa. Akianguka inakuwa kama vile kapatwa na kizuguzungu,lakini akirudi katika hali yake,anakuwa hakumbuki kama hali hiyo imemtokea.

Kwa yeyote anayejua mtu wa kusaidia,tafadhali naomba tuwasiliane inbox. Kila tulipojaribu wanadai watatibu,wanaishia tu kula pesa basi.
Atakuwa na pepo mchafu aka shetani mbaya wa kutupiwa kiuchawi ndio anaye mwangusha. Hakuna dawa ya hospitali itakayo muwezesha kupona hapo na hata mukimpeleka hospitali. Watampima na hawata ona maradhi yoyote yale. Nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia na aweze kupona maradhi yake.
 
Anaumwa ugonjwa unaoitwa postural hypotension
Aende hospital kwa msaada zaidi
 
Atakuwa na pepo mchafu aka shetani mbaya wa kutupiwa kiuchawi ndio anaye mwangusha. Hakuna dawa ya hospitali itakayo muwezesha kupona hapo na hata mukimpeleka hospitali. Watampima na hawata ona maradhi yoyote yale. Nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia na aweze kupona maradhi yake.
Ni kweli,Hospital vipimo vyote ugonjwa hauonekani.
-je, tutajuaje kama kweli ni uchawi?
Maana hutakuwa wa kwanza kutoa kauli hiyo,japo wapo walioahidi kumtibu na waliishia kujipatia hela tu.
Funguka,ikiwezekana utoe namba tuwasiliane
 
Mkuu,ni tatizo la mda mrefu,hivyo hospitali nyingi tulielekezwa,cha ajabu wanasema hawaoni ugonjwa wowote
Vitu vya kufanya
1.akilala usiku muda anaamka akae kwanza kitandani kwa dakika kama 5 ivi ndiyo asimame
Hii itamsaidia sana
 
Vitu vya kufanya
1.akilala usiku muda anaamka akae kwanza kitandani kwa dakika kama 5 ivi ndiyo asimame
Hii itamsaidia sana
Mkuu,iko hivi,si tatizo la kila siku,inaweza kupita hata wiki 2. Ila tu ukimuangalia,utaona hayupo sawa kiaina. Sasa cha ajabu anapoanguka,siyo ile paaa. Anaanza kuyumba kidogo,ukiwa unamjua,inaweza kumdaka. Lakini asipodakwa,hushuka taratibu,utadhani kashikiliwa na mtu kumuepusha kuumia.
Na ukimlaza,baada ya kama dakika 10, utamkuta yupo sawa,ila anakwambia hakumbuki kama kuna kitu kilichomtokea,tofauti na kujiona sehemu ambapo hakuwa kabla ya kuanguka
 
Back
Top Bottom