Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Maneno yako sahihi mkuu anaebisha mwache abishe lakini ukweli ndo huo na utabaki kua hvyo tu
Shaitwani ana nafasi kubwa ya kumtia maradhi binaadamu hata vitabu vyote vinatuambia.
 
Last edited by a moderator:
ndo ujinga gani huu sasa
Hapana sio ujinga hapa tupo kwaajili ya kuelekezana na kupeana faida kama mtu hatumii lugha nzuri ya stara ni haki yetu kumuelewesha mkuu. Nadhani ungesoma last coment tena kwa umakini nahisi ungefahamu nimekusudia nini.
 

Pamoja sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mkuu.
Tatizo nimesha wasaidia sana bure wakisha pona huwa hawaleti Feedback wasipopona ndio wanakuja juu kuweka Thread ya kunilaumu mimi kana kwamba mimi ndie niliye wapa huo ugonjwa. Sasa nimeamuwa mtu akiwa na Tatizo anitafute kwa pembeni tukisha elewana ndio nitampa dawa yangu tpaul
 
Last edited by a moderator:

Tuna safari ndefu sana kupata maendeleo kama mitizamo ya wananzengo ndio hii.
 
ndo ujinga gani huu sasa
Umemuelewa vibaya yeye alikuwa anasahihisha tu. nakushauri nunua simu yenye alarm 20,000 tu. mtegee muda awe anaamka usiku kaMa mara mbili hivi. baada ya miezi kadhaa kama minne au mitano usimuwekee alarm na uangalie matokeo.
 
Umemuelewa vibaya yeye alikuwa anasahihisha tu. nakushauri nunua simu yenye alarm 20,000 tu. mtegee muda awe anaamka usiku kaMa mara mbili hivi. baada ya miezi kadhaa kama minne au mitano usimuwekee alarm na uangalie matokeo.

Asante mkuu
 
Ikishindikana kuna dawa ya kutibu depression/sonona inaitwa amitriptyline. Ikitumika kwa dozi ndogo husaidia hii shida.
 
Achemshe ndevu za mahindi anywe maji yake ni tiba tosha, tafuta kitabu cha turejee edeni utaelewa mengi.

anywe kwa muda wa siuku saba asubuhi na jioni glasi moja anaweza kuendelea ,pia awe ana mpaka mafuta ya zaituni wakati wa kulala.Na awe msafi kuoga kabla ya kulala sio analala na mavumbi ya kutwa nzima.kwa uwezo wa mungu atapona
 
Also mnaweza jaribu kumsikiliza sheikh Mustapher Songoro through Youtube na topic kuhusu vitimbi vya majini kuna mifano mingi sana kaelezea kuhusu hilo suala na jinsi linavyo affects jamii nzima.Hi topic ni very serious sana na inagusa wengi ktk jamii zetu.M/Mpamba.
 
Maji yalotumika kuoshea mchele anakunywa bilaur moja kila siku kwa muda wa wiki mbili.
 
na umri gani?

Home remedy:

Aache kunywa vimiminika mida ya jioni meaning akomee kunywa saa 12 na alale saa 4 baada ya kukojoa. Tafiti zaonyesha kwamba wengi hukojoa vitandani kuanzia saa 7-9 so ukiweza kumfanyia timing ukamuamsha midsa hiyo utatatua tatizo kwa asilimia 98.
 
Kama ni mtoto kuwa na kawaida ya kumuasha akojoe mara kadhaa nyakati za usiku itasaidia.
 
Usinywe vimiminika (maji, uji, soda, togwa, supu n.k) baada ya jua kuzama, lala baada ya saa 5 usiku, set alarm ikuamshe saa 7 na 9 usiku ili ukajisaidie. Ndio mwisho wa kuitwa KIKOJOZI mkuu.
 
Hasinywe chai ya rangi, pia usinywe vimiminika jion. Endelea kumuamsha
 
Habari za majukumu,

Mimi naomba kuleta kwenu tatizo linalomsumbua mdogo wangu mwenye umri wa miaka 27 sasa.

Anasumbuliwa na tatizo la kujikojolea ila sio mara kwa mara but tukio moja baada ya mwez au miezi kadhaa na hua inamtokea akiwa kalala usiku na pengine mchana ila sana ni usiku.

Nini tiba yake au ni dawa ipi ni sahihi kwa matumizi?

Je, dawa aina ya amitiptrin ndo tiba ake? Mana kuna mtu alimwambia aitumie.
 
Mdogo wangu pia alikuwa ivyo ila nikaambiwa awe anakunywa maji ya mchele. Ukoshe mchele wako vizuri then acha ulowe vizuri halafu yale maji mpe anywe itamsaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…