Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Mtembeze mitaani achekwe na watoto kwa ule wimbo wa kikojozi huku amevalishwa gunia. Ataacha.

Hakika nikimuona kamfanyia hivi namfungulia kesi ya kumzalilisha mtoto. Hii sio dawa wala adhabu! Hajapenda kukojoa, yawezekana karithi toka kwa mzazi mmojawapo!
 
Mtoto wangu msichana yupo darasa la tano ana miaka 11, tatizo lake ni kwamba kila akilala usiku lazima akojoe kitandani, tangia azaliwe amekuwa kikojozi najaribu kumuamsha ila nikichelewa kidogo nakuta tayari kashakojoa, wana jf nlikuwa naomba msaada kama kuna dawa ya kumsaidia mtoto wangu.
 
Jitahidi jioni asinywe vitu vya maji maji kuanzia saa kumi na mbili juice, soda, chai.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Apunguze vitu vya sukari, pipi, chai, soda, juice n.k.

Maji ya kunywa hayana tatizo.Chai anywe mara moja hasa wakati wa breakfast. Fanya zoezi hilo,ndani ya wiki 1 utaona matokeo.
 
Kila ikifika jioni kabla ya kulala afanye mazoezi ya kutosha ambayo yatamtoa jasho, nadhani inaweza kumsaidia
 
Dr MziziMkavu unaitwa huku uje kutoa msaada. Jitahidi baada ya saa 12 jioni asinywe maji na kabla ya kupanda kitandani hakikisha anaenda kukojoa nawe ujitahidi usichelewe kumuamsha hiyo saa uliyopanga kumuamsha.
 
Last edited by a moderator:
jitahidi jioni asinywe vitu vya maji maji kuanzia saa kumi na mbili juice,soda,chai

Akiwa ana kiu je asinywe maji kisa atakojoa. Wengi wao kukojoa kitandani ni maradhi hata ale au anywe nini anakojoa tu
 
Mie nliwah kuskia maji yale unayooshea mchele ni dawa ya vikojozi ila sina uhakika...

Habibty Angel Nylon Mrs Kharusy mwajua hili?
Kutokana na huyo mtoto umri wake wa miaka 11 hawezi kupona kwa kunywa maji ya mchele . Huyo mtoto anaye shetani ndio anaye msababisha kukojowa kitandani na dawa za Hospitali hawezi kupona hata iweje. Anachotakiwa atolewe huyo shetani ndie anaweza kupona farkhina.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
I am safe and sound Dr, and how have you been Sir? Thanks for asking Sir.
Tupo tu tunahangaika na maisha ya Ughaibuni kumekuwa kugumu upatikanaji wa pesa lakini tunashukuru Mwenyeezi Mungu Tu wazima vipi na wewe huko uliko?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huku Mfaranyaki Bomba tu hata ukiuza mahindi ya kuchoma na firigisi za kukaanga hukosi ngawira za kujidai MUJINI Mkuu.

Ni kweli lakini bado kimaendeleo Umeme bado wa mgao Maji safi mijini mpaka vijijini hakuna dawa na vifaa vya kisasa hakuna Mahospitalini ukiumwa unachungulia kaburi au mpaka upelekwe nchini india jitahidini kuweka uchumi wa nchi ili uwe sawa chaguweeni viongozi bora wanaopenda Maendeleo ya nchi mutafanikiwa. Mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tatizo ni hawa ukoo wa panya na ukoo wa fisi ambao wanaendelea kuliangamiza Taifa letu kila kukicha. Wanajivisha ngozi ya uongozi kujidai wanataka kutuongoza Watanzania kumbe ni mafisi na mapanya yanayojali kujineemesha yenyewe tu miaka nenda miaka rudi, yenyewe yanakuwa matajiri makubwa hadi kuwa mabilionea wakati kuna Watanzania hata mlo mmoja tu kwa siku hawajui utatoka wapi Mkuu wakati haya mapanya na mafisi yameficha nchi za nje matrilioni ya pesa walizozipata kwa njia za haramu.

Haya basi tusichakachue uzi wa watu zaidi ya hapa Mkuu.

Ni kweli lakini bado kimaendeleo Umeme bado wa mgao Maji safi mijini mpaka vijijini hakuna dawa na vifaa vya kisasa hakuna Mahospitalini ukiumwa unachungulia kaburi au mpaka upelekwe nchini india jitahidini kuweka uchumi wa nchi ili uwe sawa chaguweeni viongozi bora wanaopenda Maendeleo ya nchi mutafanikiwa. Mkuu BAK
 
Kutokana na huyo mtoto umri wake wa miaka 11 hawezi kupona kwa kunywa maji ya mchele . Huyo mtoto anaye shetani ndio anaye msababisha kukojowa kitandani na dawa za Hospitali hawezi kupona hata iweje. Anachotakiwa atolewe huyo shetani ndie anaweza kupona farkhina

Mmmh mkwe shetani na kukojoa tena? Mbona havina uhusiano huyo shetani anapata faida gani kumfanya mtoto awe kikojozi?
 
Mmmh mkwe shetani na kukojoa tena? Mbona havina uhusiano huyo shetani anapata faida gani kumfanya mtoto awe kikojozi?
Kwani Shetani anapata faida gani kumdhuru binadamu? mama mkwe wangu unauliza jibu wakati kwenu Unguja Mashetani kila mahali yapo? Unaniabisha Mama Mkwe wangu farkhina Ama kweli Waswahili wamesema kwenye Miti hakuna wajenzi. Shetani amekula kiapo wakati alipofukuzwa Peponi kuwa atawaangamiza Watoto wa Adamu huna habari wewe? Kwani Aduwi mkubwa wa binadamu ni nani?
 
Hivi ile dawa ya pembe la ng'ombe haikuwa inatibu hii kitu?

Nataka kuanza practice, dr MziziMkavu siku hizi anachimbwa dawa.
Dr MziziMkavu unaitwa huku uje kutoa msaada. Jitahidi baada ya saa 12 jioni asinywe maji na kabla ya kupanda kitandani hakikisha anaenda kukojoa nawe ujitahidi usichelewe kumuamsha hiyo saa uliyopanga kumuamsha.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ile dawa ya pembe la ng'ombe haikuwa inatibu hii kitu?

Nataka kuanza practice, dr MziziMkavu siku hizi anachimbwa dawa.
Mkuu King'asti; Nimeshatowa Dawa nyingi watu hawarudishi majibu yaani (Feedback) matokeo yake wasipopona wanakuja kuanzisha Thread ya kunialumu Kwani Mimi ni mponyeshaji? Mwenyeezi Mungu peke yake ndio anaye waponyesha viumbe wake mimi inapita sababu nimekupa dawa ndio umepona. Sasa sitatowa Dawa bure bila ya kulipa gharama za dawa sitoweza kutowa bure imepitwa na wakati.Nimejifunza kutokana na Makosa.
 
Akiwa ana kiu je asinywe maji kisa atakojoa. Wengi wao kukojoa kitandani ni maradhi hata ale au anywe nini anakojoa tu

Anywe maji kiasi kidogo vitu vya sukari jioni asipewe kabisa. Hii inasaidia kiasi
 
Ndo yamekuwa haya tena?
kutokana na huyo mtoto umri wake wa miaka 11 hawezi kupona kwa kunywa maji ya mchele . Huyo mtoto anaye shetani ndio anaye msababisha kukojowa kitandani na dawa za Hospitali hawezi kupona hata iweje. Anachotakiwa atolewe huyo shetani ndie anaweza kupona farkhina
 
Back
Top Bottom