bruno twemanye
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 801
- 387
Aliacha hilo tatizo?Mdogo wangu pia alikuwa ivyo ila nikaambiwa awe anakunywa maji ya mchele. Ukoshe mchele wako vizuri then acha ulowe vizuri halafu yale maji mpe anywe itamsaidia.
Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya tiba ya tatizo la kukojoa kitandani kwa mtu mzima (above 18) nini husababisha hali hii na matibabu yake yanakuwaje. Msaada wa haraka unahitajika.
Hii huwa ni kwa muda tu, na kibaya zaidi akiacha kutumua huwa kikojozi kupitiliza.Mpeleke kwa daktari...kuna dawa zinaweza kusaidia!! zinaitwa Desmopressin!!
Nmejikuta nacheka kwa sauti mbele ya watu walio serious @ mabiti wazuri , sasa kuhusu mavi ya tembo ndio naelekea tafuta nyara za serikal mmh
Mavi ya tembo sio nyara ya govt. yapo yanauzwa wa wauza madawa ya kienyeji. tafuta umsaidie nduguyo.Habarin za mida wakuu, nmejitokeza kuomba msaada juu ya tatizo hili nina ndg wa karibu anasumbuliwa na hili tatizo awali tulidhani ni uvivu pia ataacha atakavyokuwa anakua ila sasa imekuwa tatizo kwan amekua binafsi anasema anakuwa hajitambui, hivyo mwenye msaada dawa namna gan tatizo hil linatibika plz
Habarin za mida wakuu, nmejitokeza kuomba msaada juu ya tatizo hili nina ndg wa karibu anasumbuliwa na hili tatizo awali tulidhani ni uvivu pia ataacha atakavyokuwa anakua ila sasa imekuwa tatizo kwan amekua binafsi anasema anakuwa hajitambui, hivyo mwenye msaada dawa namna gan tatizo hil linatibika plz