Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Washa moto wa mkaa au kuni ukolee vizuri,akojolee moto huo uzimike huku akinuia kuacha kukojoa.

Anywe maji ya kuoshea mchele,chemsha ndevu za mahindi anywe hayo maji.

Apunguze kunywa maji mida ya jioni wakati akikaribia kulala. Ajizoeshe kuamka usiku hata kwa alarm hii itamsaidia kuset mind yake na ataanza kuamka mwenyewe na kwenda kukojoa
Ilifanya kazi, hii naamini kabisa.
 
Asanteni nitampa habari izi Mama ake aweze kulifanyia kazi mara 1
 
mdogo angu ana hili tatizo yuko form 1 sasa hadi wanataka kumrudisha nyumbani naomba msaada wenu wakuu

Nocturnal enuresis, also called bedwetting, is involuntary urination while asleep after the age at which bladder control usually occurs. Nocturnal enuresis is considered primary (PNE) when a child has not yet had a prolonged period of being dry. Secondary nocturnal enuresis (SNE) is when a child or adult begins wetting again after having stayed dry.

Nocturnal enuresis - Wikipedia

Dawa mojawapo ya kutibu hii
Amitriptyline - Wikipedia
 
Washa moto wa mkaa au kuni ukolee vizuri,akojolee moto huo uzimike huku akinuia kuacha kukojoa.

Anywe maji ya kuoshea mchele,chemsha ndevu za mahindi anywe hayo maji.

Apunguze kunywa maji mida ya jioni wakati akikaribia kulala. Ajizoeshe kuamka usiku hata kwa alarm hii itamsaidia kuset mind yake na ataanza kuamka mwenyewe na kwenda kukojoa
Mkuu izo dozi anafatisha kwa pamoja au mojawapo inatosha kumalza tatzo?
 
Kwanza unatakiwa ujue sababu ya yeye kujikojolea. Wengi huwa na bladder problems. Kwa watoto wa kike huacha hii tabia baada ya kuanza kufanya mapenzi. Sex husaidia kuimalisha ile mifupa na mishipa ambayo humsaidia kuweza bana mkojo kwa muda mrefu..
 
maji ya kuoshea mchele pia ni dawa...lakin kwa kikojozi sugu
 
AFIKISHWE HOSPITALI( sio tuzahanati) KWANZA, AONANE NA DAKTARI ILI KUJUA NINI HASA CHANZO CHA YEYE KUKOJOA, HUENDA NI TATIZO DOGO TU TENA LINALOTOBIKA.

IKISHINDIKANA HUKO NDIO MUHANGAIKE NA DAWA ZA ASILI JAPO MI SIZIAMINI SANA...

usisite kuleta mrejesho ili kupewa ushauri zaidi maana hii kitu inatibika ila msipofanya juhudi itamtesa sana na kumwasili kisaokolojia
 
maji ya kuoshea mchele pia ni dawa...lakin kwa kikojozi sugu
Maji ya Mchele ni Dawa nzuri sana kwa watu wenye shida Fulani so atumie kuponya mikojo na pia kutibu tatizo Fulani. akikua atajua tu.
 
maji ya Mchele ni Dawa nzuri sana kwa watu wenye shida Fulani so atumie kuponya mikojo na pia kutibu tatizo Fulani. akikua atajua tu.
Mkuu weka wazi zitaje hizo shida na hayo matatizo na hicho atakachokuja kukijua akikuwa. Ume weka fumbo weka bayana ili wengine tujifunze zaidi. Inaonekana maji ya mchele yana kazi nyingi.
 
Usiombe kuwa na hili tatizo! Unakuwa unaota unakojoa chooni au popote pale kumbe kitandani! Ukishamaliza tu lazima ushtuke! Hali hii humfanya mtu hata anapokojoa chooni kutokua na imani na kuhisi labda anaota! Mbaya zaidi ukienda ugenini, unaweza kukesha!

Kuna hawa jamaa wanajiita nadhani JMK au JKM (hujitangaza sana kwenye tv) wana dawa nadhani itakuwa kwanzia 50,000/= ingawa tatizo litaisha lenyewe au kupungua akikaribia 25yrs!
 
Aisee dawa ya kukojoa kitandani?uwe unamuamsha anakojoa then analala tena.Very simple.
 
Mwenye dawa anisaidie aisee. Tatizo linawasumbua sana wanafunzi wangu wa kike tena

Ni hatari sana
 
Mkuu weka wazi zitaje hizo shida na hayo matatizo na hicho atakachokuja kukijua akikuwa....ume weka fumbo weka bayana ili wengine tujifunze zaidi...inaonekana maji ya mchele yana kszi nyingi.
Kweupe hivi? wakati vidogo vyako viko humu? Thubutu
 
Mwambie awe anakojoa kabla ya kwenda kulala. Pia kila kabla ya kukojoa awe anajifinya akiona anaumia ajue anaota, asikojoe. Hii ni kwa sababu mara nyingi wanaokojoa usiku huwa wapo ndotoni.

Nipe namba yake kwa ushauri zaidi
 
Back
Top Bottom