Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 545
Mm niliwahi kusikia hzo ndevu za mahindi ila sina uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ana neurological disorder. Najaribu kuisearch hapa na dawa zake. Nikiipata nitarudi... Inabidi sana sana amuone mganga wa kisaikolojia.mdogo angu ana hili tatizo yuko form 1 sasa hadi wanataka kumrudisha nyumbani naomba msaada wenu wakuu
Ilifanya kazi, hii naamini kabisa.Washa moto wa mkaa au kuni ukolee vizuri,akojolee moto huo uzimike huku akinuia kuacha kukojoa.
Anywe maji ya kuoshea mchele,chemsha ndevu za mahindi anywe hayo maji.
Apunguze kunywa maji mida ya jioni wakati akikaribia kulala. Ajizoeshe kuamka usiku hata kwa alarm hii itamsaidia kuset mind yake na ataanza kuamka mwenyewe na kwenda kukojoa
mdogo angu ana hili tatizo yuko form 1 sasa hadi wanataka kumrudisha nyumbani naomba msaada wenu wakuu
Mkuu izo dozi anafatisha kwa pamoja au mojawapo inatosha kumalza tatzo?Washa moto wa mkaa au kuni ukolee vizuri,akojolee moto huo uzimike huku akinuia kuacha kukojoa.
Anywe maji ya kuoshea mchele,chemsha ndevu za mahindi anywe hayo maji.
Apunguze kunywa maji mida ya jioni wakati akikaribia kulala. Ajizoeshe kuamka usiku hata kwa alarm hii itamsaidia kuset mind yake na ataanza kuamka mwenyewe na kwenda kukojoa
Ha ha ha hahaaa imenibidi nicheke kwa sauti kwa kweliiMfungie chura kiunoni
Moja wapo inatoshaMkuu izo dozi anafatisha kwa pamoja au mojawapo inatosha kumalza tatzo?
Maji ya Mchele ni Dawa nzuri sana kwa watu wenye shida Fulani so atumie kuponya mikojo na pia kutibu tatizo Fulani. akikua atajua tu.maji ya kuoshea mchele pia ni dawa...lakin kwa kikojozi sugu
Mkuu weka wazi zitaje hizo shida na hayo matatizo na hicho atakachokuja kukijua akikuwa. Ume weka fumbo weka bayana ili wengine tujifunze zaidi. Inaonekana maji ya mchele yana kazi nyingi.maji ya Mchele ni Dawa nzuri sana kwa watu wenye shida Fulani so atumie kuponya mikojo na pia kutibu tatizo Fulani. akikua atajua tu.
Chura wa Snura au..!?Mfungie chura kiunoni
Kweupe hivi? wakati vidogo vyako viko humu? ThubutuMkuu weka wazi zitaje hizo shida na hayo matatizo na hicho atakachokuja kukijua akikuwa....ume weka fumbo weka bayana ili wengine tujifunze zaidi...inaonekana maji ya mchele yana kszi nyingi.