Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Ila mabint wengi wana hilo tatizo, tumsaidie jamni hiyo hali ni mbaya.
 
Asiguse glass ya maji kuanzia saa 11 jioni.
 
Kama hana tatizo kwenye bladder, sphincter muscles au mfumo mzima wa kutoa mkojo basi litakuwa either tatizo la kisaikolojia tu au la kiroho na yanatibika.

Nina shuhuda za watu wengi waliachia kukojoa ukubwani baada ya kupata ushauri wa kisaikoloja. Na walitumia haya madawa ya kienyeji bila mafanikio.

Kama ni mtu wa Imani, nakushauri pia uende kanisani kwa maombi kwa sababu linaweza kusababishwa na hawa spiritual husbands & wives. (nina ushuhuda mwingi pia kuhusu hili na wengi walipona).
 
Zipo dawa za miti shamba, kwani nakumbuka wakati nikiwa nasoma kwa wanachemba skwadi pale Dom kuna dogo alikua anatililisha mikojo kinomanoma ila baada ya kukutana nae baada ya miaka 5 alikua amepona na anadai alitumia mitishamba.
 
Hahaha sasa yeye si amesema ni mtu mzima kheee akikutwa uchi juu ya mti ni kesi nyingine hee hatari saaana
 


Mateso yote ya nn na YESU anaponya
 
Mhhhh!! Mpe Pole Saana!! KUNA Mzee Alikuwa Anajua Hizo Dawa!! SIJUI Kama Bado Yuko Hai, Alimsaidia Binti Ya Brother!!! KAMA Vp Nitaulizia Na Nitakujuza Kule PM!!!! NI Aibu Saana!!
 
Mdogo wangu ana hili tatizo la kukojoa kitandani na sasa yupo form 1. Kutokana na tatizo hili, sasa hadi wanataka kumrudisha nyumbani.

Naomba msaada wenu wakuu.
 
Washa moto wa mkaa au kuni ukolee vizuri,akojolee moto huo uzimike huku akinuia kuacha kukojoa.

Anywe maji ya kuoshea mchele,chemsha ndevu za mahindi anywe hayo maji.

Apunguze kunywa maji mida ya jioni wakati akikaribia kulala. Ajizoeshe kuamka usiku hata kwa alarm hii itamsaidia kuset mind yake na ataanza kuamka mwenyewe na kwenda kukojoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…