mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Je kwa mtu mzima inakuaje? Nina ndugu yangu tulivokua wadogo tulikua na tabia hiyo lakini mimi iliacha. Anaelekea 27 years na bado anaachia usiku..ni ngumu kumwambia si wajua aibu na mtu mzima..Hii inaitwa enuresis. Daktari wa mfumo wa akili hasa wa watoto atakusaidia.Tatizo liko kwenye mfumo wa fahamu. Ubongo wa binadamu unafanya kazi masaa 24. Kibofu kikijaa ujumbe unafika kwenye ubongo na usingizi unapata.
Mtoto wa miaka miwili bado mishipa ya fahamu pamoja na sphincter zinajijenga lakini miaka mitatu watoto wengi huwa wanaamka. Wengine hufika miaka 5 lakini 12 ni tatizo.
Weka alarm ya kukuamsha umpeleke choo ni kila baada ya masaa manne.
Matatizo yako kwenye mfumo wa fahamu. Amuone mtaalamu wa ubongo akipata dawa ataacha.Je, kwa mtu mzima inakuaje?? Nina ndugu yangu tulivokua wadogo tulikua na tabia hiyo lakini mimi iliacha.. anaelekea 27 years na bado anaachia usiku..ni ngumu kumwambia si wajua aibu na mtu mzima..
Je, anasaidiwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12 sasa anaingia class 7. Anakojoa kitandani kila siku. Kwa mwezi anaweza asikojoe mara moja au mbili tu. Lakini siku zote hizo anakojoa sana.
Katumia dawa za kienyeji, za kimasai pia lakini imeshindikana. Nikampeleka hospital kuna vidonge alipewa. Walisema akinywa ndani ya siku 30 tatizo litaisha. Hakuna unafuu. Nikampeleka Muhimbili kuna Dr niliambiwa anasaidia lakini ilishindikana. Dr alisema hali itaisha yenyewe.
Yeye binti pia haipendi hii hali. Maana huwa anakuja na njia nyingi za kupona tatizo lake kama kunywa maji ya mchele, kunywa maji ya nazi, kuchemsha yale manyoya ya mahindi mabichi nk.
Sasa anakaribia kukua na soon ataenda form one boarding.
Naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua dawa au Dr anaweza msaidia please. Tupo Dar
Mkuu kuna rafiki yangu alikuwa anajikojolea,mpaka tukiwa m4 4 enzi hizo alitumia kila aina ya dawa.Habari wakuu,
Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12 sasa anaingia class 7. Anakojoa kitandani kila siku. Kwa mwezi anaweza asikojoe mara moja au mbili tu. Lakini siku zote hizo anakojoa sana.
Katumia dawa za kienyeji, za kimasai pia lakini imeshindikana. Nikampeleka hospital kuna vidonge alipewa. Walisema akinywa ndani ya siku 30 tatizo litaisha. Hakuna unafuu. Nikampeleka Muhimbili kuna Dr niliambiwa anasaidia lakini ilishindikana. Dr alisema hali itaisha yenyewe.
Yeye binti pia haipendi hii hali. Maana huwa anakuja na njia nyingi za kupona tatizo lake kama kunywa maji ya mchele, kunywa maji ya nazi, kuchemsha yale manyoya ya mahindi mabichi nk.
Sasa anakaribia kukua na soon ataenda form one boarding.
Naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua dawa au Dr anaweza msaidia please. Tupo Dar
Mkuu kidogo number 3 na ku support ila hizo nyingine ni ngumu sana mkuu.Dawa ya tatzo hlo ni:
1. Control unywaji wa maj na vimiminika sanasana usiku,sinywe kabisa ikiwezekana
2. Saikolojia yake inabid ibadilike,achukie kabisa hyo kitu
3. Afanye kegel exercise kila siku,.hii ni kumwezesha a build muscles znazohusika na uruhusaj wa mkojo kwenye mfumo wake
4. Aamke usiku mara mbili kwenda kukojoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazisaidiiii mkuu.Tumia ndevu za mahindi ni dawa nzuri au tembelea maduka ya madawa ya kisunna.
Mkuu sio kwamba kwa ubaya hapana. Ila hilo tatizo dogo lili msumbua sana ila ilikuja kukata yenyewe alivyo fika 4m 4. Hakuna dawa ambayo hajatumiaaa.Sasa kama hazisaidii tafuta za kwako zinazosaidia.
Sija kuelewa unasemaje?Mkuu MziziMkavu, hariri anuani ya barua pepe
Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.comMkuu MziziMkavu, hariri anuani ya barua pepe