Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
Wewe shida yako unataka dawa au unataka mambo ya Uganga? Chaguwa moja kati ya hayo mawili.Hii dawa kama ya kiganga.
Bibie Jestina sio joke nichukulie Serious hiyo ni Dawa ya Ukweli au mnataka na sisi tujiite Wajukuu wa Babu Wa Loliondo? ili mpate kutuamini? Mimi basi ni mjukuu wa Babu wa Loliondo niamini hiyo ni Dawa hakuna Dawa Hospitalini ya kuacha mtoto kukojoa kitandani. kama kuna mtu ana Dawa ya hospitali ya kuacha kukojoa Mtoto Kitandani Tafadhali aweke hapa ili ipate kumsaidia huyo mwenzetu Asanteni.mmmmh mzizimkavu kaniacha hoi,nashindwa nimuamini au nichukulie kama joke?
Habari wana JF,
Kuna mtoto wa kike wa rafiki yangu sasa ana miaka 6 tatizo anakojoa kitandani almost kila siku. jee kuna dawa yoyote ya kienyeji ama hospitali inayoweza kumaliza tatizo hilo?
Msaada plizz...
Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
je kuna uhusiano wowote kati ya kukojoa kitandani kwa mwanaume anapokuwa mtoto mdogo na kuwahi kufika kileleni(kupizi) wakati wa tendo la ndoa anapokuwa mtu mzima?
Je nn suluhisho la matatizo haya?
Asante, ngoja nianze kuweka strategy ya kumuamsha usiku maana sasa maodoro ndiyo hayo hayaangaliki sasa. ukizingatia mazingira yenyewe ya uswazi, hakuna hata sehemu ya kuanika godoro akishalimwaga.Ahakikishe hanywi maji muda mfupi kabla ya kulala na amzoeshe kumwamsha usiku kukojoa.
Asante, ngoja nianze kuweka strategy ya kumuamsha usiku maana sasa maodoro ndiyo hayo hayaangaliki sasa. ukizingatia mazingira yenyewe ya uswazi, hakuna hata sehemu ya kuanika godoro akishalimwaga.
asante, ngoja nianze kuweka strategy ya kumuamsha usiku maana sasa maodoro ndiyo hayo hayaangaliki sasa. ukizingatia mazingira yenyewe ya uswazi, hakuna hata sehemu ya kuanika godoro akishalimwaga.
Jamani mimi kuna jamaa yangu ana kabinti kana miaka 10. haka kabinti kana tabia ya kukojoa usiku. Na hali hii ni ya mara kwa mara, naomba msaada wenu ili nimuelekeze huyu jamaa yangu namn y kulikabili hili tatizo.
Natanguliza shukurani.
Kwani wewe ukisema Mwanao wangu ana umjri wa miaka10 anakojoa kitandani kwani utakuwa na aibu gani? kwani humu ndani unamuogopa nani kwenye hii forums? tujaalie ni mimi mwenye huyo Mtoto wangu anae kujoa kitandani Dawa yake ni hii hapa nakupaJamani mimi kuna jamaa yangu ana kabinti kana miaka 10. haka kabinti kana tabia ya kukojoa usiku. Na hali hii ni ya mara kwa mara, naomba msaada wenu ili nimuelekeze huyu jamaa yangu namn y kulikabili hili tatizo.
Natanguliza shukurani.