Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
600
Reaction score
510
Habarini wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ni tatizo ambalo linanikuta Mara kwa Mara kabla sijaenda nakuwa na hu lakn nikifika tu basi hamu yote inaisha na maumbile husimama kwa ulegevu sana nashindwa kuelew nitaondokan na tatizo hili kivipi.

Msaada ndugu zangu
 
Iliwahi kunitokea hii hali.
Namchezea wife nataka kupeleka moto tu jamaa anazima ghafla.
Kula matopetope, ukiyapata yale ya pori ndio dili zaidi au tafuta huu mti chini. Siujui kwa jina ila Mundende inasuburi.
Tengeneza unga kwa majani yake tia kwenye chai, uji au maji. Jamaa atanenepa, atakuwa imara.
Hii miti iko sehemu nyingi tu hapa nchini
IMG_20210807_144057_HDR.jpg
 
View attachment 1885960
Dah shukran kaka mana aibu sana asikwambie mtu
 
Habarini wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu in tatizo ambalo linanikuta Mara kwa Mara kabla sijaenda nakuwa na hu lakn nikifika tu basi hamu yote inaisha na maumbile husimama kwa ulegevu sana nashindwa kuelew nitaondokan na tatizo hili kivipi.

Msaada ndugu zangu
@mtimkav Mtimkavu689 njooni mtoe msaada wa nguvu za kiume
 
Iliwahi kunitokea hii hali.
Namchezea wife nataka kupeleka moto tu jamaa anazima ghafla.
Kula matopetope, ukiyapata yale ya pori ndio dili zaidi au tafuta huu mti chini. Siujui kwa jina ila Mundende inasuburi.
Tengeneza unga kwa majani yake tia kwenye chai, uji au maji. Jamaa atanenepa, atakuwa imara.
Hii miti iko sehemu nyingi tu hapa nchini
View attachment 1885960
Ananenepa??[emoji848][emoji848][emoji848] huo mti upo wapi[emoji851][emoji851]
 
Habarini wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu in tatizo ambalo linanikuta Mara kwa Mara kabla sijaenda nakuwa na hu lakn nikifika tu basi hamu yote inaisha na maumbile husimama kwa ulegevu sana nashindwa kuelew nitaondokan na tatizo hili kivipi.

Msaada ndugu zangu
Eneo mnalokutana live tulivu na pia usiwe na haraka, ukifika tulia vuta pumzi. Ikiwezekana lala kidogo kwanza.
 
Jifunze kufanya mazoezi bro kunywa maji mengi pia... Mwaka Jana kurudi nyuma nilikua na tatizo linalofanana na lako mi nilikua nikipiga bao moja basi hapo mashine kusimama n msala inachukua muda sana sio siri hii inshu ilinitesa kiasi kwamba nikawa nakwepa mademu lakini nilipoanza kupiga tizi huwezi amini niko fiti sina wasiwasi.. USIJE UKAINGIA KWENYE MTEGO WA VITU VYA KUJIBOOST MFANO VUMBI LA KONGO NA VIAGRA UTAJUTA... NARUDIA MARA YA MWISHO
Fanya mazoezi kunywa maji mengi
 
We haujui tu Hii hali inavyonipa mawazo
Pole sana mkuu, nakuelewa.... ila ushauri naweza kukupa ni punguza hofu na mawazo maana lile tendo linahitaji kujiamini, utulivu wa akili na nafsi.
Pia kile kitendo ili uenjoy vizuri teamwork inahusika, ongea na mwenza wako kuwa huru naye anaweza kuwa msaada mzuri kwako na hyo hali ikapungua kama sio kuisha kabisa.

Kuna mtu hapo juu nimeona kaongelea kuhusu CHAPUTA, kama nawe ni member basi em fata ushauri wake utakusaidia zaidi.
 
Back
Top Bottom