Mkazahau111
Member
- Mar 3, 2017
- 85
- 70
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana.Habar wakuu, nina shida ya kutoona siku zangu za hedhi mpaka nimeze dawa za kunisaidia kuona karibu mwaka wa 10 sasa nishafanya vipimo vingi nishazunguka mahospitalin ila tatizo haliishi, sina mtoto hata mmoja nina miaka 30 sasa, naomba mwenye kujua dawa ushauri mnisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
OopsNenda kawe kwa mtumishi mwamposya kamuelezee tatizo lako yeye amepewa kibali cha kusikilizwa haraka na Kujibiwa na Mungu
Sent by iOS
Limenianza baada ya kuolewa mkuu.Mkuu samahani hebu nijibu kwanza swali langu halafu nitarudi kukupa suluhisho.
Tatizo hilo limekuanza tangu ulipovunja ungo au limeanza ukiwa ndani ya ndoa!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilichukua muda gani ukiwa kwenye ndoa ukaanza kuona hilo tatizo kama unakumbuka!??
Tunaomba mrejesho ili wengine wasaidike badala ya kwenda kwa waganga na kuliwa au kulishwa uchafuSawa, kwa hiyo nivae na niyanuse hapo kwenye kwapa ntaona siku zangu na kula hivyo vitunguu sio? Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu ntatumia hiyo dawa, Mungu awakuzie vyema mtoto wenu.Mm siyo daktari ila nitakuelekeza dawa moja pengine unaweza kukusaidia, tafuta mti mmoja unaitwa mlonge utachuma majani yake uwe unachemsha na maji. Yakichemka epua kisha uwe unachuja na kunywa kila asubuhi na jioni glasi moja kila siku hata muda wa mwezi mmoja. Mungu akipenda itakusaidia. Mm ni mashahidi wa hiyo dawa kwasababu nilikuwa nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu bila mimba wala mtoto. Na alikuwa mzunguko wake haueleweki lakini baada ya kuelekezwa hiyo dawa akaanza kuitumia mambo yakaenda vizuri. Mpaka sasaiv dawa ilimsaidia Mungu alitujalia akashika ujauzito akajifungua mtoto wa kiume. Mwanetu mpaka sasa ana umri wa miaka miwili na nusu ambaye hana shida yoyote. HATA HIVYO MUNGU NI MKUBWA. kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mume?? Kama una mume, vaa mashati yake na haswa usiku baada ya mechi za kirafiki. Uwe ukila vitunguu saumu viwili kila siku usiku kabla ya mechi
PunjePunje mbili au yale madude mazima mawili?
[emoji53][emoji53]Nenda kawe kwa mtumishi mwamposya kamuelezee tatizo lako yeye amepewa kibali cha kusikilizwa haraka na Kujibiwa na Mungu
Sent by iOS
Usidharau huduma za watumishi wa Mungu, hata kama hautakuwa wa upande huu, nenda tu ukaombeweHabari Dokta na wasomaji wote;
Nina rafiki yangu wa kike ana tatizo la kutoona siku zake/hedhi kwa zaidi ya miezi 6 sasa.
Ku concieve hapana, pia kutumia uzazi wa mpango pia hatumii sababu ana kiu na mtoto.Huenda kuna njia za uzazi anatumia, huwa sometimes zinakata hedhi au zinafanya mzunguko usioeleweka , ila nnachomshauri aende hospital tena akawaambie juu ya hilo.pole yake
Au ameconcieve tena🤷♂️, akapime na ujauzito pia.
Doctor Sky Eclat