bubblymolly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 495
- 703
Habar wakuu, nina shida ya kutoona siku zangu za hedhi mpaka nimeze dawa za kunisaidia kuona karibu mwaka wa 10 sasa nishafanya vipimo vingi nishazunguka mahospitalin ila tatizo haliishi, sina mtoto hata mmoja nina miaka 30 sasa, naomba mwenye kujua dawa ushauri mnisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Personally mimi ni mwanamke ila nna tatizo tofauti kidogo mzunguko wangu hufika hadi siku 55 au 41 zikijitahidi sana. Niliambiwa nna hormonal imbalance basically hormone zangu za kiume ni nyingi kuliko za kike-dawa zipo ila tatizo haliishi jumla its an on going process. Nikushauri uende kwa Gyno akupe exact diagnosis. Once again pole sana