Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Nendo hospital, onana na Dr wa magonjwa ya kina mama uchunguzwe hormones zako, kuna imbalance inatakiwa kurekebishwa.

Hii usipoishughurikia itaathiri uzazi wako.

Pole
 
Dalili ya hormonal imbalance tumia kirutubisho kiitwacho REFINED YUNZHI ESSENCE au njoo PM kwa maelezo zaidi.
 
Habari, mimi ni mwanamke wa miaka 25 na nina tatizo la kutopata hedhi. Inaweza kupita miezi 3 bila kuingia period na sijui tatizo ni nn. Nilishawahi kwenda hospital na nikapimwa ultrasound lakini bado shida haikuonekana. Kwa yeyote mwenye ushauri au hospital anayoweza kurecommend tafadhali naomba msaada.
pata kipimo cha: sex hormones, salpingography, wakisema hakuna tatizo basi ndipo utafikia kuanza kutumia madawa ya kushtua mayai, japo bado kuna vipimo zaidi ya hivyo unaweza kuendelea navyo mpaka kujua wapi kuna tatizo.
 
Habari, mimi ni mwanamke wa miaka 25 na nina tatizo la kutopata hedhi. Inaweza kupita miezi 3 bila kuingia period na sijui tatizo ni nn. Nilishawahi kwenda hospital na nikapimwa ultrasound lakini bado shida haikuonekana. Kwa yeyote mwenye ushauri au hospital anayoweza kurecommend tafadhali naomba msaada.
Njoo PM nikuelekeze upone.
 
Kama hautojali unaweza ni PM majibu yako ya ultrasonogpraphy, au uliambiwa shida hakuna kwa mdomo ukaondoka.

Ahsante.
 
Habari, mimi ni mwanamke wa miaka 25 na nina tatizo la kutopata hedhi. Inaweza kupita miezi 3 bila kuingia period na sijui tatizo ni nn. Nilishawahi kwenda hospital na nikapimwa ultrasound lakini bado shida haikuonekana. Kwa yeyote mwenye ushauri au hospital anayoweza kurecommend tafadhali naomba msaada.
Nimeku PM
 
Back
Top Bottom