Havoc
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 242
- 166
Hivi hiyo damu huwa unakuwa nyingi,mana nasikia bleed,bleed sielewimimi imenitokea mwezi wa kwanza huu badala nipate mwanzoni ,nikapata mwishoni.
aisee inaumiza sana maana mwili unakua na manadiliko yakuchosha,bora uwe na mimba basi ujue moja,unajikuta tumbo linajaa,unaumwa umwa,vipresha vya hapa na pale ,mawazo... mimba huna...
ila nashukuru ilitoka kwa kufosi na miti shamba
wambie ajipe moyo itatoka tu