Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

mimi imenitokea mwezi wa kwanza huu badala nipate mwanzoni ,nikapata mwishoni.

aisee inaumiza sana maana mwili unakua na manadiliko yakuchosha,bora uwe na mimba basi ujue moja,unajikuta tumbo linajaa,unaumwa umwa,vipresha vya hapa na pale ,mawazo... mimba huna...

ila nashukuru ilitoka kwa kufosi na miti shamba
wambie ajipe moyo itatoka tu
Hivi hiyo damu huwa unakuwa nyingi,mana nasikia bleed,bleed sielewi
 
mimi imenitokea mwezi wa kwanza huu badala nipate mwanzoni ,nikapata mwishoni.

aisee inaumiza sana maana mwili unakua na manadiliko yakuchosha,bora uwe na mimba basi ujue moja,unajikuta tumbo linajaa,unaumwa umwa,vipresha vya hapa na pale ,mawazo... mimba huna...

ila nashukuru ilitoka kwa kufosi na miti shamba
wambie ajipe moyo itatoka tu
Me mwenyewe sijielewi nimeruka sijui kuna nini Leo siku ya 32 .nimemiss siku zangu jamani niombeeni
 
Me mwenyewe sijielewi nimeruka sijui kuna nini Leo siku ya 32 .nimemiss siku zangu jamani niombeeni
pole sana.
yani ikishapita siku moja tu unakua kama mja mzito huna amani mabadiliko ya mwili yanachosha sana..zikitoka unakua kama umetua mzigo
 
Yaani nimechoka.matiti yanauma ila sipati p
Yanauma yanavimba kama maputo..

afu unakua na kapresha fulani hivi..
ukipanda mlima unahem balaa..

mimi na choo kinafungaga...
hapa nna mwezi nakunywa miti shamba kutwa mara3... maana hata ikitoka tumbo linauma kama ngiri
 
Yanauma yanavimba kama maputo..

afu unakua na kapresha fulani hivi..
ukipanda mlima unahem balaa..

mimi na choo kinafungaga...
hapa nna mwezi nakunywa miti shamba kutwa mara3... maana hata ikitoka tumbo linauma kama ngiri
Tayari bna imeanza nilishakonda bure
 
Kwa anayejua tiba nyingine maana nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kukosa hedhi, nikaenda hospital nikaambiwa nipigie nyutrosound nikakutwa Sina tatizo dkt.

Akaniambia itakuwa mayai yamezubaa akanipa dawa ya kupevusha mayai, dufasto na vitamin E nitumie ndani ya miezi 3,mwezi 1 wa kwanza nikaona hedhi ilikuwa tarehe 4 mwezi 2 nikaona tarehe 9 na watatu nikaona tarehe 9 nikarudi tena kwa dkt nikamwambia miezi 3 imeisha naona siku zinaanza kwenda vizuri akaniuliza mimba bado?

Nikamjibu ndio akaniambia angalia mwezi huu ukiona bado ujashika Mimba ukapime kipimo hichi HSG, sasa swali nauliza tarehe nayobleed imepita tangu tarehe 9 nikajua nitakuwa nimeshika mimba nimepima leo asubuhi hakuna kitu inamaana tatizo limerudi pale pale la kukosa hedhi maana aliniambia nisiendelee kutumia zile dawa
 
Me
Nadhani ni vema urudi kwa huyo daktari maana yeye ndo anaekujua vema umueleze ajue anakusaidia vipi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna dada toka azaliwe hajawahi kupata hedhi, lakini ameshazaa mtoto mmoja tu, hospital wanasema hana tatizo lolote japo hapati hedhi na ni miaka sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Samahani mkuu mchango wangu uko nje na ndani ya mada kwa pamoja.

Ni "ultrasound" sio "nyutrosound". Asante.
 
Habari, mimi ni mwanamke wa miaka 25 na nina tatizo la kutopata hedhi. Inaweza kupita miezi 3 bila kuingia period na sijui tatizo ni nn. Nilishawahi kwenda hospital na nikapimwa ultrasound lakini bado shida haikuonekana. Kwa yeyote mwenye ushauri au hospital anayoweza kurecommend tafadhali naomba msaada.
 
tatizo lina mda gan
na umeshafanya vipimo gan tofauti na USs
 
Mwaka na miezi kadhaa. Nlipoenda kwa doctor ni kipimo hko tu alichoniandikia
 
Back
Top Bottom