Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Chocs kama wanavyosema huko hospitali ni Mabadiliko ya mwili wa Mwanamke inatokea kwa kila Mwanamke hii lakini sio kwa wote baadhi yao huwa ndio hivyo sio maradhi.Shukrani..tatzo linasababishwa na nin? Mana hosptal wanasema ni kawaida.
Aksante
- Swali kwa Madaktari (linatokana na hii thread): "Je mwanamke asipopata kwa muda mrefu siku zake kuna madhara yeyote kiafya kwake?." Kama ilivyo kwa mpendwa wa mleta mada.
Aksante
- Swali kwa Madaktari (linatokana na hii thread): "Je mwanamke asipopata kwa muda mrefu siku zake kuna madhara yeyote kiafya kwake?." Kama ilivyo kwa mpendwa wa mleta mada.
Kukosa Hedhi (Amenorrhea)
Ehhh how old are you mamma?can i call you that?Wakati ule nazaa ilikuwa nikijifungua nakaa miezi kama 24 kabla ya kuanza kupata siku tena. but was long time ago.
asanteni ndugu zangu Qute cherry na Dinazarde kwa majibu nilipata wasiwasi nikahisi labda nitakuwa na tatizo.asanteni sana
usiulize hapa wewe nitafute kwenye Whats App kama una shida na mimi.Mbona unakuja kumwaga mtama kwenye kuku wengi kwanini?Mmmh, mzizi mkavu ile namba ni Nchi gani?
habari jf doctor.
Nina miaka 27.Awali nilikuwa siijui tarehe yangu ya kubleed kutokana na kitokuwa na constant date.lakn naona tatizo limeendelea kwa kukosa kabisa kuona siku zangu huu ni mwezi wa nne sasa.sijawai kutumia kitu chochote kuhusu uzazi wa mpango.nahitaji mtoto ila siku sizioni naombeni msaada wa ushauri .na nini sababu ya hayo .