Tatizo la kukosa hisia/msisimko wa Mapenzi.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Nianze na Wanaume:

Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono:

1. Kuvutiwa Kihisia
Mchakato huu huanza na hisia za kuvutiwa kimapenzi au kimwili. Hii inaweza kutokana na hisia za mapenzi, mguso, mawazo ya kimapenzi, au kuona kitu kinachovutia kingono.
Kuvutiwa kunafanya mfumo wa neva wa ubongo kuamsha hisia, na kusababisha mwili kujiandaa kwa ajili ya tendo la ngono.

2. Msisimko wa Akili
Ubongo unashika nafasi kubwa katika kusisimka kingono. Mawazo, kumbukumbu, au hisia za mapenzi husababisha kutolewa kwa kemikali kama dopamine na oxytocin, ambazo huongeza hamu ya mapenzi na kusisimua hisia.

3. Mwili Kujibu (Jinsia ya Kiume)
Neva kutoka kwenye ubongo hutuma ishara kupitia uti wa mgongo kwenda kwenye uume. Ishara hizi huanzisha mchakato wa kusimama kwa uume kwa kuongeza mtiririko wa damu kwenye mishipa ya damu ndani ya uume.
Mishipa hii inajaa damu na kufanya misuli ya uume iwe ngumu na kuunyanyua (kusimama).

4. Mishipa ya Damu na Kusimama kwa Uume
Damu inaingia kwenye tishu maalum zinazojulikana kama corpora cavernosa, ambayo hupanuka na kufunga mtiririko wa damu kutoka kwenye uume, hivyo kufanya uume kuwa mgumu.
Katika hali ya kawaida, mfumo wa neva wa parasympathetic (sehemu ya mfumo wa neva wa fahamu) ndiyo inayosimamia mchakato wa kusimama kwa uume.

Hizi si sababu za kupungukiwa Nguvu za kiume.
1. Kupiga nyeto hakusababishi kupungukiwa nguvu za kiume.
2. Kufanya tendo mala nyingi.

Sababu za kupungukiwa nguvu za kiume:
1. Kutumia vyakula vilivyochanganywa vinasaba, mfano broiler. ambapo upelekea uzalishaji wa hormone zisizo wa nguvu ya uchochezi.
viongozi wa LGBTq TV wapo nyuma ya pazia.
2. Roho chafu au mapepo, hutumika sana kumaliza uwezo wa mwanaume. na ndio maana wengi wanaenda kwa waganga kutafuta nguvu na wanafanikiwa.

Kama huna tatizo La Moyo wala Ugonjwa wa kisukari, hutakiwi kupungukiwa hisia au msisimko wa kingono.

Kwa wanawake:
Hili tatizo ni kubwa sana lakini ushaidi unakuwa ni mdogo.

Niache swali kwanza..
Mwanaume anapokua na tatizo ugundulika kwa uume kushindwa kusimama, kwahiyo hakuna kitakacho endelea.

Je mwanamke mwenye upungufu wa nguvu za kike anakuaje ? Shusha reply yako 👇

Wale wazee wa "Sex is overrated" naomba mpite kimya.
 
Ukuona husisisimki...download VPN YA UPX KISHA INGIA STRIPCHART..WAWEZA ANGALIA NA MPENZI WAKO JINSI WATU WANAINJOI KISHA UKAENDELEA KUINJOI WANAWAKE WAZURI...SHIDO SI KUZOEANA NA WAKO
 
Wakati wa tendo anazungumzia vikoba

Wakati wa tendo anauliza ''bado hujakojoa? Kojoa basi!

Wakati wa maandalizi hata utumie masaa matatu bado mkavu

Wakati wa tendo unatumia sana mate kulowanisha k

Wakati wa tendo utamu ukikolea ukitaka umbusu au umle mate anageuza shingo...hataki

Wakati wa tendo hakukandamizi makalio ili ikolee zaidi🤒

Wakati wa tendo hairudishii ikichomoka🥴
 
Mbona Mwanaume mwenye afya anaamka akiwa amesimamisha??? Huwa kumetokea nini???
 
Hapo wazungu wanakuwa wanakukumbusha wanataka kutoka. Nimuhimu sana kuwatoa wazungu kwasababu faida yake ni kubwa sana mwilini.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wakati wa tendo anazungumzia vikoba

Wakati wa tendo anauliza ''bado hujakojoa? Kojoa basi!

Wakati wa maandalizi hata utumie masaa matatu bado mkavu

Wakati wa tendo unatumia sana mate kulowanisha k

Wakati wa tendo utamu ukikolea ukitaka umbusu au umle mate anageuza shingo...hataki

Wakati wa tendo hakukandamizi makalio ili ikolee zaidi🤒

Wakati wa tendo hairudishii ikichomoka🥴
Hii umeongea kwa uzoefu kabisa
 
Kwo mwanetu una kandamizwa makalio kisawasawa🤣
Wakati wa tendo anazungumzia vikoba

Wakati wa tendo anauliza ''bado hujakojoa? Kojoa basi!

Wakati wa maandalizi hata utumie masaa matatu bado mkavu

Wakati wa tendo unatumia sana mate kulowanisha k

Wakati wa tendo utamu ukikolea ukitaka umbusu au umle mate anageuza shingo...hataki

Wakati wa tendo hakukandamizi makalio ili ikolee zaidi🤒

Wakati wa tendo hairudishii ikichomoka🥴
 
Ukuona husisisimki...download VPN YA UPX KISHA INGIA STRIPCHART..WAWEZA ANGALIA NA MPENZI WAKO JINSI WATU WANAINJOI KISHA UKAENDELEA KUINJOI WANAWAKE WAZURI...SHIDO SI KUZOEANA NA WAKO
Hii comment imenipeleka ulimwengu mwingine kabisa
 
Nianze na Wanaume:

Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono:

1. Kuvutiwa Kihisia
Mchakato huu huanza na hisia za kuvutiwa kimapenzi au kimwili. Hii inaweza kutokana na hisia za mapenzi, mguso, mawazo ya kimapenzi, au kuona kitu kinachovutia kingono.
Kuvutiwa kunafanya mfumo wa neva wa ubongo kuamsha hisia, na kusababisha mwili kujiandaa kwa ajili ya tendo la ngono.

2. Msisimko wa Akili
Ubongo unashika nafasi kubwa katika kusisimka kingono. Mawazo, kumbukumbu, au hisia za mapenzi husababisha kutolewa kwa kemikali kama dopamine na oxytocin, ambazo huongeza hamu ya mapenzi na kusisimua hisia.

3. Mwili Kujibu (Jinsia ya Kiume)
Neva kutoka kwenye ubongo hutuma ishara kupitia uti wa mgongo kwenda kwenye uume. Ishara hizi huanzisha mchakato wa kusimama kwa uume kwa kuongeza mtiririko wa damu kwenye mishipa ya damu ndani ya uume.
Mishipa hii inajaa damu na kufanya misuli ya uume iwe ngumu na kuunyanyua (kusimama).

4. Mishipa ya Damu na Kusimama kwa Uume
Damu inaingia kwenye tishu maalum zinazojulikana kama corpora cavernosa, ambayo hupanuka na kufunga mtiririko wa damu kutoka kwenye uume, hivyo kufanya uume kuwa mgumu.
Katika hali ya kawaida, mfumo wa neva wa parasympathetic (sehemu ya mfumo wa neva wa fahamu) ndiyo inayosimamia mchakato wa kusimama kwa uume.

Hizi si sababu za kupungukiwa Nguvu za kiume.
1. Kupiga nyeto hakusababishi kupungukiwa nguvu za kiume.
2. Kufanya tendo mala nyingi.

Sababu za kupungukiwa nguvu za kiume:
1. Kutumia vyakula vilivyochanganywa vinasaba, mfano broiler. ambapo upelekea uzalishaji wa hormone zisizo wa nguvu ya uchochezi.
viongozi wa LGBTq TV wapo nyuma ya pazia.
2. Roho chafu au mapepo, hutumika sana kumaliza uwezo wa mwanaume. na ndio maana wengi wanaenda kwa waganga kutafuta nguvu na wanafanikiwa.

Kama huna tatizo La Moyo wala Ugonjwa wa kisukari, hutakiwi kupungukiwa hisia au msisimko wa kingono.

Kwa wanawake:
Hili tatizo ni kubwa sana lakini ushaidi unakuwa ni mdogo.

Niache swali kwanza..
Mwanaume anapokua na tatizo ugundulika kwa uume kushindwa kusimama, kwahiyo hakuna kitakacho endelea.

Je mwanamke mwenye upungufu wa nguvu za kike anakuaje ? Shusha reply yako 👇

Wale wazee wa "Sex is overrated" naomba mpite kimya.
Mwisho ya yote vipapa vnanuka visamaki Ata bao moja nguvu utatoa wapy🤣mbususu unakuta imechacha
 
mbaya zaidi uwe ulihaidiwa kuwa utaichapa hadi asubuhi kwa 50k 😥
 
Kuna siku nikapata mama hiyo Tako jingi kinoma nikasema Leo ntaikaza kinoma oya kufika kupima oil kidogo oya sio poa harufu ilyotoka stimu zikakata pale pale😴
mbaya zaidi uwe ulihaidiwa kuwa utaichapa hadi asubuhi kwa 50k 😥
 
Yote bin yote hamu ya ngono kwa miaka hii haitabiriki maana changamoto za kimaisha zinatupeleka lukumbalukumba!
 
Back
Top Bottom