Wewe ni mpuuzi sana hii ni medical case na uache kumdhalilisha ugonjwa ni siri ya daktari na mgonjwa sasa wewe unaingiaje hapo sirini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
kanisimulia tuWeka picha tuone kwanza ukubwa wa tatizo ndio tukushauri mkuu
Mwambie aende hospital mkuu kwa madaktari wanaohusika na uzazi
Havina mda mlefu na mda wa kwenda krinik bado alichotaka kujua kama vinatibika kabla hajaenda hospitalAende kwa gynecology haraka iwezekanyo.
Ni vipi hadi sasa hajamuambia daktari wake siku anazo hudhuria clinic ya wajawazito?
Dokta akiviona ndio atasema kama vinatibika au havitibiki. Hapa watakupa majibu batili na ya kukutisha au kukukejeli na matusi sababu hata doktari waliopo humu jukwaani hawajaona hivyo vinyama hawawezi kupiga ramli.Havina mda mlefu na mda wa kwenda krinik bado alichotaka kujua kama vinatibika kabla hajaenda hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ndugu yangu ni mwanamke na ni MJAMZITO tatizo lake vimeota vinyama ndani ya uke. Bado hajaenda hospital kupima. Mimi nimeamua kuleta kwanza humu mnipe ushauri kabla ili nimwelekeze aanzie wapi? je kuna dawa ya kutibu anaweza kununua au ni lazima hospital
NB.vimeota ndani ya uke.
Nitashukuru kwa michango yenu JF doctor.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mficha maradhi mautu humuumbua, wewe mwone mjinga lakini mwisho wa siku kuna watakaochukulia mzaha na kujibu kwa kejeli, kuna mwingine atajifanya anafuata ethics kama wewe na mgojwa hajapata jibu lakini kuna wengine ni wataalamu ama wamewahi kukumbwa na tatizo kama hilo, ama ni madaktrari bingwa wa hospitali ama ni madaktari bingwa wa kienyeji wakamwonyesha njia ambayo atapitia kiulaini akaliondoa tatizo la ndugu yake.Wewe ni mpuuzi sana hii ni medical case na uache kumdhalilisha ugonjwa ni siri ya daktari na mgonjwa sasa wewe unaingiaje hapo sirini ?
Sent using Jamii Forums mobile app