Tatizo la kuota vinyama ukeni

Tatizo la kuota vinyama ukeni

Hizo ni vaginal warts na vinazidi ukiwa na mimba kwa sababu ya Hormones, mara nyingi havina madhara makubwa zaidi ya kujisikia vibaya wakati wa kuvunja katiba ya warioba hivyo sio mbaya ukamwona Gyno aliyekaribu akupe ushauri/dawa
 
Nina ndugu yangu ni mwanamke na ni MJAMZITO tatizo lake vimeota vinyama ndani ya uke. Bado hajaenda hospital kupima. Mimi nimeamua kuleta kwanza humu mnipe ushauri kabla ili nimwelekeze aanzie wapi? je kuna dawa ya kutibu anaweza kununua au ni lazima hospital
NB.vimeota ndani ya uke.
Nitashukuru kwa michango yenu JF doctor.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umejuaje haya mambo ya Siri ya nduguyo?? Si useme tu kuwa mgonjwa ni wewe?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom