maforce
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 660
- 616
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vinaweza vikapotea baada ya kujifungua,,Hizo ni vaginal warts na vinazidi ukiwa na mimba kwa sababu ya Hormones, mara nyingi havina madhara makubwa zaidi ya kujisikia vibaya wakati wa kuvunja katiba ya warioba hivyo sio mbaya ukamwona Gyno aliyekaribu akupe ushauri/dawa
Wewe umejuaje haya mambo ya Siri ya nduguyo?? Si useme tu kuwa mgonjwa ni wewe?!Nina ndugu yangu ni mwanamke na ni MJAMZITO tatizo lake vimeota vinyama ndani ya uke. Bado hajaenda hospital kupima. Mimi nimeamua kuleta kwanza humu mnipe ushauri kabla ili nimwelekeze aanzie wapi? je kuna dawa ya kutibu anaweza kununua au ni lazima hospital
NB.vimeota ndani ya uke.
Nitashukuru kwa michango yenu JF doctor.
Sent using Jamii Forums mobile app