uludodi
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 576
- 915
Nina ndugu yangu ni mwanamke na ni mjamzito tatizo lake vimeota vinyama ndani ya uke.
Bado hajaenda hospital kupima mimi nimeamua kuleta kwanza humu mnipe ushauri kabla ili nimwelekeze aanzie wapi?
je kuna dawa ya kutibu anaweza kununua au ni lazima hospital
NB.vimeota ndani ya uke.
Nitashukuru kwa michango yenu JF doctor.
Sent using Jamii Forums mobile app