Kukosa choo kunasababishwa na sababu nyingi, kama bado yuko hospitali dawa za maumivu anazotumia pia huenda pia zikasababisha kutokupata choo. Ongea na daktari, ikiwezekana apate movicol au badala yake. Pia kumshauri kunywa maji pia itamsaidia.Wadau habarini za jioni...!!!
wapendwa nakuja tena mbele yenu, nina mgonjwa wangu amepatwa na tatizo la stroke na yupo hospitali kwa matibabu ila tangu alazwe sasa ana wiki moja isipokuwa hajapata choo (stool) hadi sasa japo haja ndogo anaipata.
naombeni ushauri wenu wakuu.
asanteni....!!1
asante sana ndugu, anakula japo pale anapopata hamu anaweza kuomba aina ya chakula anachokitaka na maji liankuwa ni suala la lazima kidogo kunywa..!!anakula vizuri ?maana wagonjwa wengi hawali vizuri kwaiyo inakuwa ngumu kupata choo vizuri
pole sana kuuguza mkuu
asante sana, maji anakunywa japo wakati mwingine ni kwa ulazima kidogo na ilipelekea kushauriwa tumnyweshe supu ya makongoro( ng'ombe, mbuzi n.k) na tulipomnyeshwa ni kweli alipatwa na kiu na maji alikuwa anakunywa. tatizo pia ana preshaKukosa choo kunasababishwa na sababu nyingi, kama bado yuko hospitali dawa za maumivu anazotumia pia huenda pia zikasababisha kutokupata choo. Ongea na daktari, ikiwezekana apate movicol au badala yake. Pia kumshauri kunywa maji pia itamsaidia.
ni juice sanaasante sana ndugu, anakula japo pale anapopata hamu anaweza kuomba aina ya chakula anachokitaka na maji liankuwa ni suala la lazima kidogo kunywa..!!
Kama hapendi maji hata chai isiyo na sukari nyingi au diluted juice pia inaweza kusaidia, stroke imeafect ulaji au uongeaji? Kama pressure iko controlled kwa sasa ni kumshauri apate some sort of liquid in take to keep hydration level in a good balance, kama kunywa maji ni ngumu madaktari wanaweza kushauri awekewe drip, kitu ambacho mnaweza kukizuia kwa kumpa maji kidogo kidogo.asante sana, maji anakunywa japo wakati mwingine ni kwa ulazima kidogo na ilipelekea kushauriwa tumnyweshe supu ya makongoro( ng'ombe, mbuzi n.k) na tulipomnyeshwa ni kweli alipatwa na kiu na maji alikuwa anakunywa. tatizo pia ana presha
stroke imemuafect kwenye kuongea, mkono pamoja na mguu.Kama hapendi maji hata chai isiyo na sukari nyingi au diluted juice pia inaweza kusaidia, stroke imeafect ulaji au uongeaji? Kama pressure iko controlled kwa sasa ni kumshauri apate some sort of liquid in take to keep hydration level in a good balance, kama kunywa maji ni ngumu madaktari wanaweza kushauri awekewe drip, kitu ambacho mnaweza kukizuia kwa kumpa maji kidogo kidogo.
kuweni wavumilivu stroke inaitaji muda mgonjwa kuwa normal mkuuasante sana Miss Natafuta..!!!
Mkono na mguu wa kulia?stroke imemuafect kwenye kuongea, mkono pamoja na mguu.
Iwe diluted just to get some test ikiwezekana just a drop of Ribena, kwakuwa umesema hapendi plain water.ok lakini juice haiwezi ikaleta madhara kwa upande wa pressure? kwa maana ya ile sukari ya juice
matunda unasaga tu yenyewe usiweke sukari sio lazima mkuuok lakini juice haiwezi ikaleta madhara kwa upande wa pressure? kwa maana ya ile sukari ya juice
Kwahiyo stroke imeaffect upande wa kulia, kwahiyo issue sasa ni kukontrol blood pressure, na diet kuavoid second stroke. Ana umri gani samahani.h
hapana, vyote ni upande wa kushoto!
huwa ni kawaida maana kumbuka hali sanasawa shukrani ndugu yangu mana ni suala la kuogofya kidogo kula bila choo..!!1