Tatizo la kupata choo kwa aliyepatwa na stroke

Tatizo la kupata choo kwa aliyepatwa na stroke

Wadau habarini za jioni...!!!

wapendwa nakuja tena mbele yenu, nina mgonjwa wangu amepatwa na tatizo la stroke na yupo hospitali kwa matibabu ila tangu alazwe sasa ana wiki moja isipokuwa hajapata choo (stool) hadi sasa japo haja ndogo anaipata.
naombeni ushauri wenu wakuu.
asanteni....!!1
kama anaweza kula chakula mpeni ndizi mbivu akila atapata choo. Mimi ninaweza kumtibia hiyo stroke na akapona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
stroke imemuafect kwenye kuongea, mkono pamoja na mguu.
Stroke inawezekana imemwathiri misuli mingi zaidi ya unavyofikiria, Dr wake anasemaje???
Hepukeni vyakula vya carbs & starch, vitu kama mikate, wali, ugali siyo vizuri kwa mtu wa aina hii na nyama pia iwe kwa kiasi, mpeni mboga mboga, michemsho kama mtori, supu halafu anywe maji mengi. Juice ya apple inalainisha choo pia inaweza saidia.
Lakini nina wasi wasi na hiyo hospital anapotibiwa, mtu akikaa muda mrefu hivyo wanatakiwa wampatie suppository imsaidie kwenda haja, muulize dr wake atakuandieni hiyo
 
Back
Top Bottom