smileagain
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 585
- 630
Pole mkuu,Mungu amponye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama anaweza kula chakula mpeni ndizi mbivu akila atapata choo. Mimi ninaweza kumtibia hiyo stroke na akapona.Wadau habarini za jioni...!!!
wapendwa nakuja tena mbele yenu, nina mgonjwa wangu amepatwa na tatizo la stroke na yupo hospitali kwa matibabu ila tangu alazwe sasa ana wiki moja isipokuwa hajapata choo (stool) hadi sasa japo haja ndogo anaipata.
naombeni ushauri wenu wakuu.
asanteni....!!1
Stroke inawezekana imemwathiri misuli mingi zaidi ya unavyofikiria, Dr wake anasemaje???stroke imemuafect kwenye kuongea, mkono pamoja na mguu.