Amina juma1
Member
- Jun 22, 2020
- 9
- 3
OkHapo ulipo unaweza itengeneza kwa kublendi mchanganyiko wa limao,tangawizi,vitunguu maji na vitunguu swaum pamoja na pilipili kichaa. Inatumia kijiko cha chakula kila baada ya saa 8 .siku 3 tu utakuwa umepona. Dawa inapatikana Dar mimi kwa rafiki yangu alinipatia.
Wacha kuleta fujo janvini.Mkuu iyo itakuwa fistula wahi fasta kituo chochote cha afya kilicho karibu yako
ushimen[emoji23][emoji23][emoji119]Mmejaribu kunusa kimba aka kiwele??
Nyungu inakuhusu mkuu, piga nyunguWadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua
Kunywa ile dawa ya mchanganyiko wa tangawizi, swaumu, limao, asali.Wadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua
Tayari mzigo mnao huo apo ni kupiga tu namba za serikaliMm na wiki tatu si sikii harufu na nianao ishi nao pia hawaskii harufu yoyote
hahahahahaha...ulidhani mzigo umetoweka???Ohooooh! Kumbe mzigo bado unaranda randa?
Hii dawa naipataje au waweza kunifahamisha inavyotengenezwa
Tatizo sio mafuanme sina mafua ata kdgPiga K Vant au Konyagi subiri kama nusu saa hivi, kama bado una mafua basi jaribu dawa nyingine, samahani lakini mkuu kama nitakuwa nimekukwaza lakini hapa nimekueleza kile ninachotumiaga mimi
Piga ,cetrizine syrup na vitamin B complex syrup utarud kushukulu sema hata usiwaze baada ya week kma mbil iyo har itaisha tuTatizo sio mafuanme sina mafua ata kdg
Ni mafua yasiyotoa makamasi?Tatizo sio mafuanme sina mafua ata kdg
Njoo PmNi mafua yasiyotoa makamasi?
Wadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua