Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Hapa nilipo nimefanikiwa kupata chumvi ya mawe.Sasa miguu naloweka kwa mda gani,i mean dakika ngap?

Unaweka kwa 10 - 15seconds unatoa, unarudia kama x15 hivi. Maji usipooze sana.
 
Unaweka kwa 10 - 15seconds unatoa, unarudia kama x15 hivi. Maji usipooze sana.
Asante.But miguu inawaka mpka mapajani kabsa,hapo inakuwaje sasa maana kuloweka mpka mapajan naona kama ni ngumu
 
Asante.But miguu inawaka mpka mapajani kabsa,hapo inakuwaje sasa maana kuloweka mpka mapajan naona kama ni ngumu

[emoji15][emoji15] Hii ni serious case Mkuu, nilijua ni kwenye nyayo tu.
 
Pole sana...

ia ni dalili moja yapo kwamba una maambukizo ya Covid-19
 
Nipeni dawa basi hapa nimepoteza hadi hamu ya kula siku ya nne sasa
 
Kaka samahani ntumie namba yako tuyajenge na mm nina tatizo kama lako
 
Jumatatu iliyopita nilipatwa kama na chenga kwenye koo, mara jion yake nabanja, usiku teyari na mafua makali, nshtuka alfajiri nakoaa kimtindo, nikaona hizi fluu za kawaida, jumanne sijui ni muda gani ila kichwa kilikua kinaniuma kupita maelezo, nikiangalia mwanga maumivu makali, nikitagusa macho yanauma, nikiinama kama kichwa kinaangu na macho yanataka kuchomoka, nilishindwa kula chakula cha usiku na usiku sikulala nilikua na homa kali kama nakufa(nakiri ni nusu ya kifo),jumatano Asubuh nikakimbilia usipitali, nikapima vipimo vingi sikua na tatizo hata moja, nikapewa dawa za maumivu nikapata nafuu jtano usiku na alhamis, ijumaa ngoma iko palepale.

Ikabidi nitafute hospital inayopima "covid" haraka sana. Nikapimwa nikakutwa nayo na typhoid. Hali ninayihisikia ni mbaya, covid siyo mchezo isikie tu kwa jiran. Na ni mbaya ikikupata ukiwa na kaugonjwa kengine kamejificha.
 
Pole Sana mkuu hiki kirusi kipo japo Kuna baadhi wanabeza, waombe Sana Mungu kisiwapate maana kinakuja kwa nguvu Sana mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…