Tatizo la kushindwa kumpa mimba mwanamke

Tatizo la kushindwa kumpa mimba mwanamke

Aliekudanganya kuwa mtoto anatafutwa kwa upande mmoja tu peke yake bila kumshirikisha mwanamke ni nani?....ni rahisi sana mwanamke kutafuta mtoto na kumpata ndani ya sekunde moja ila ni ngumu sana kwa mwanaume peke yake kumtafuta mtoto na kufanikiwa kumpata bila kumshirikisha mwanamke!
 
We tafuta mke. Si kila ukikutana kimwili na Mwanamke, basi anapata mimba. Ingekuwa hivyo, basi Dunia hii ingekuwa imefurika wanadamu.
Hivyo, ondoa hofu kuwa HAUZAI!
 
Pole Sana
Mtoto Siyo Nguo Kusema Utaazima
Muhimu Umeoa?
Sasa Iwapo Hujaoa Nayo Ni Shida Sana
Tafuta Anayekufaa Pangeni Mipango Ya Kupata Mtoto Ndiyo Mfanye Iwapo Hamtapata Hapo Ndiyo Tiba Itahusika

Kwasasa Unaweza Kuwa Mzima Ila Ukajiwazia Mabaya
 
Aliekudanganya kuwa mtoto anatafutwa kwa upande mmoja tu peke yake bila kumshirikisha mwanamke ni nani?....ni rahisi sana mwanamke kutafuta mtoto na kumpata ndani ya sekunde moja ila ni ngumu sana kwa mwanaume peke yake kumtafuta mtoto na kufanikiwa kumpata bila kumshirikisha mwanamke!
Sijakuelewa
 
Unatafuta mtoto au unatafuta ngoma...

Unatatizo la kuto kupata ngoma na sio mtoto..

Wanawake 8 duuu..
Nipeni mawazo na msaada wenu,

Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.

Tatizo ni nini wanajamii
 
Back
Top Bottom