Tatizo la kushindwa kumpa mimba mwanamke

Tatizo la kushindwa kumpa mimba mwanamke

Nipeni mawazo na msaada wenu,

Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.

Tatizo ni nini wanajamii
Ulijuaje kama walikuwa tayari kupata hiiyo mimba? Kama ukitaka kumpa mwanamke mimba kaoe wako uone inavyotiwa badala ya kudandia. Utakufa kwa miwaya bure kwa ujinga wako.
 
Na je kama unawapa wanawake mimba tofaut tofaut na kila baada ya miez minne Mpaka saba inatoka shida nin

Hapo inabidi kwenda hospitali na maombi.

Pia Angalia kama uliwahi kuwa na uhusiano na mwanamke au wanawake fulani hapo nyuma wengine mkiachana huwa wanakuroga unapokwenda kuanzisha uhusiano mwingine usifanikiwe ku enjoy wala kuzaa.

Kuna wanawake wana Roho mbaya ajabu.

Ndiyo maana Imeandikwa; “

asiachwe mwanamke mchawi kuishi.”

Unaweza kujiuliza Kwanini Mungu ameagiza mchawi mwanamke? Kwanini hakuwa mchawi in a general including mchawi Mwanaume?

Mwanamke akiwa mchawi na mshirikina anakuwa mtu wa matendo mabaya sana, kuua, kuvunja ndoa za watu, kutesa watu kwa magonjwa, kuzuia riziki, kuharibu uchumba, kufanya watu wasizae n.k
 
Nipeni mawazo na msaada wenu,

Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.

Tatizo ni nini wanajamii
wanawake wengi wanatumia njia za uzz wa mpango, na pia kwenye mzunguko wa mwez kwa mwanamk sio siku zote anaweza pata ujauzito tafuta mwanamke sahihi/mke ambaye atakua na uwezo na utayari wa kubeba ujauzito then ukifel hapo ndio uje tukupe njia nyingine ila kwa hili ulilosema sioni kama shida jiamini
 
sperm analysis inafanyika hospital yoyote ambapo kuna watalaam wazuri wa maabara, micro sperm analysis kwa kutumia microscop kuangalia motility of sperm,sperm ovary penetrate,macroscop,kuangalia rangi ya shahawa ,uwezo wa kujivuta etc,lakin pia kama unaweza naweza kukuelekeza kufanya test manualy hapo ulipo ndug
 
Mkuu hiyo manually test ndo inakuaje ?

Eleza kwa faida ya wengi
 
kimsingi,unapofanya sperm analysis hasa hii ya manual hutumii microscop ni kwa njia ya kuona tu kwa macho yako,hapa tunazingatia vitu viwili kwenye shahawa,rangi ya shahawa na pili uwezo au urefu wa kujivuta kutoka chombo ulichokusanyia kwenda eidha chini au chombo B ambacho ni empty. PROCEDURES. 1.kusanya shahawa kutoka kwenye ume wako eidha kwa kupiga nyeto au kushiriki na mpenzi,mke kabla hakikisha kabla ya kumwaga toa ume nje na umwage kwene glass safi au chombo chochote ambacho ni transparent, 2.angaliaa rangi ya hizo shahawa kawaida inatakiwa shahawa ziwe na rangi ya grey colour au rangi ya ubongo,tena chukua shahawa kwenye chombo A imimine chombo B,chombo A kiwe mkono wa juu na B mkono wa chini ,angalia kama shahawa itajivuta urefu wa zaidi ya kima cha sm 2 bila kukatika basi kuna abnomality na pia inaweza kuwa early signs ya kutokubebesha mimba na zaidi kwenye sperm analyisis tuendelee kuulizana na kupeana maswali
 
Tiba yake sasa
 
Tiba yake ni nini mkuu?
 
Kwanza niseme kitu kimoja ,kupima shahawa kwa kompyuta siyo tiba na wala huwezi pata majibu sahihi,,shahawa zenye mbegu zinaonekana kwa macho tu ,,kwanza zinatakiwa ziwe nyingi,pili ziwe nzito na tatu zinapotoka bao la kwanza ziwe zinaruka umbali usiopungua mita moja,,,ebu fanya hivyo unipe majibu kisha ntakushauri nini ufanye
 
Tiba yake ni nini mkuu
 
Aliekudanganya kuwa mtoto anatafutwa kwa upande mmoja tu peke yake bila kumshirikisha mwanamke ni nani?....ni rahisi sana mwanamke kutafuta mtoto na kumpata ndani ya sekunde moja ila ni ngumu sana kwa mwanaume peke yake kumtafuta mtoto na kufanikiwa kumpata bila kumshirikisha mwanamke!

Ukute hao aliotembea nao wamejiekea vijitiiiii au wanakula vidonge vya uzazi wa mpango, au wamejimezea p2 kimya kimya after sex na hela zake wamekula.

Its true lazima amuweke wazi mwanamke anachokitaka kutoka kwake ndo atapata.
 
Nipeni mawazo na msaada wenu,

Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.

Tatizo ni nini wanajamii
🌱 SABABU ZA MWANAUME KUKOSA MBEGU ZA UZAZI 🌱

⚡TATIZO la mwanaume kukosa mbegu za uzazi kitaalam huitwa ‘azoospermia’ au ‘medical condition’. Ni tatizo linaloathiri wanaume wa rika tofauti.

⚡Katika hali hii, mwanaume anakuwa hana mbegu hata moja inayoonekana kwenye manii yake. Hali hii inaweza kusababisha ugumba na utasa kwa mwanaume. Katika hali ya ugumba maana yake linaweza kupatiwa ufumbuzi, lakini inapofikia utasa, uwezo wa kuzaa unakuwa haupo kabisa.
wa.me/255656303019

⚡Tatizo la mwanaume kukosa mbegu za uzazi ni kubwa na husababisha ndoa kukosa tiba ingawa kwa kiasi kikubwa lawama huelekezwa kwa mwanamke.

⚡Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, tatizo hili huathiri asilimia moja ya mwanaume, yaani kuwa tasa, kukosa kabisa uwezo wa kuzaa na asilimia ishirini husababisha ugumba kwa wanaume ambapo huweza kutibika baada ya uchunguzi wa kina.

⚡Upungufu wa mbegu za kiume kitaalamu huitwa oligospermia. Hili ni neno linalotumika kuelezea hali ambapo idadi ya mbegu za mwanamme ni ndogo, pungufu ya mbegu milioni 15 katika mililita moja.

⚡Kama hakuna mbegu kabisa, hali hiyo huitwa "azoospermia". Unapohitaji kupata mtoto, idadi ya mbegu unayotoa wakati wa tendo la ndoa ni muhimu. Idadi ya kawaida ya mbegu ni kati ya milioni 15 hadi milioni 200 kwa mililita moja.

🌿VIPIMO 🌿
⚡Vipimo vya kuchukua wakati wa kufanya semen analysis:

👉🏿kuchunguzwa uwingi wa mbegu katika ujazo wa mililita moja. Kisha daktari atataka kujua ni mililita ngapi zinatolewa. Kwa mfano, mtu mwenye mbegu milioni 40 katika mililita na anakojoa mililita moja hawezi kuwa mzuri zaidi ya yule mwenye mbegu milioni 18 kwa mililita na kutoa mililita 4 za ujazo anapokojoa.

👉🏿kuchunguza ni asilimia ngapi ya mbegu ambazo zina uwezo wa kutembea, sperm motility, ambapo asilimia 50 ya mbegu kuwa na uwezo wa kutembea kuelekea kwenye nyumba ya uzazi ndicho kiwango cha chini kinachotakiwa.

👉🏿Ukubwa na maumbo ya mbegu ni kigezo kingine kwa mbegu kuwa na uwezo wa kulirutubisha yai. Uchuguzi unafanyika kuona kuwa ni asilimia ngapi ya mbegu zenye ukubwa na maumbo yaliyokamilika "sperm morphology". Mbegu safi inatakiwa kuwa na asilimia angalau 30 ya mbegu zenye ukubwa na maumbo kamilifu.

👉🏿Kiwango cha pH cha shahawa ni muhimu vile vile na kiwango kizuri ni cha kati ya pH 7.1 na 8.0. Kiwango kidogo cha pH kinamaanisha mbegu ni za utindikali zaidi na kiwango kikubwa maana yake mbegu ni alkaline. Kiwango cha pH kinaweza kuathiri afya ya mbegu zako na jinsi zitakavyosafiri.

✍🏻Tatizo hili la kukosekana mbegu za uzazi linasababisha mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke ndani ya mwaka mmoja wa uhusiano:

Aina za Azoospermia

1️⃣PRETESTICULAR AZOOSPERMIA

✍🏻Hapa mwanaume anakuwa na korodani zote kama kawaida, lakini hatoi mbegu za uzazi, anatoa manii tu. Tatizo kubwa linakuwa kwenye mfumo wa uchochezi ambapo homoni zake za kiume hushindwa kuchochea uzalishaji, homoni ya FSH inakuwa chini, kiasi kwamba inaathiri uzalishaji wa mbegu.

✍🏻Tatizo hili linaweza kusababishwa na tatizo katika ubongo ‘hypopituitarism’ na ‘hyperprolactinemia’ na hata matumizi ya dawa za homoni za kiume bila uchunguzi wa kidaktari vinaweza kuathiri uchocheaji.

✍🏻Chanzo kingine ni wale wanaotumia dawa za kutibu saratani ‘chemotherapy’ ambao huathirika na hali hii. Tatizo hili la uzalishaji kutokuwepo kutokana na matatizo ya homoni pia ni kubwa.

2️⃣TESTICULAR AZOOSPERMIA

✍🏻Hapa korodani zinashindwa kuzalisha mbegu kutokana na kasoro. Aidha, korodani moja imesinyaa au zote mbili zimesinyaa, yaani ni ndogo sana au kubwa sana, zote au mojawapo, yaani ilimradi umbile la korodani zako si la kawaida, wengine hawana kabisa korodani moja au zote mbili hazipo. Hili ni tatizo kubwa la uzazi kwa mwanaume.

✍🏻Mwanaume mwenye tatizo hili homoni zake za uzazi zinakuwa juu sana tofauti yule wa mwanzo kwa sababu ya kutokuwepo kwa mfumo wa mrejesho wa taarifa katoka katika ubongo ‘lack of feedback’ inhibition on FSH.

✍🏻Tatizo hili lipo kubwa kwa asilimia 49 hadi 93 kwa wanaume wenye matatizo ya uzazi ambao hawazalishi mbegu, watakuwa na mojawapo ya kasoro hizo tuizozitaja hapo juu.

✍🏻Tatizo hili la korodani kushindwa kufanya kazi ya kuzalisha mbegu za uzazi huweza kusababisha mbegu zizalishwe kwa kiasi kidogo sana au zisizalishwe kwa kiasi kidogo sana au zisizalishwe kabisa na zikizalishwa zinakuwa hazijakomaa.

Dalili Za Upungufu Wa Mbegu Za Kiume

➡️Kukosa uwezo wa kumpa mimba mke.
➡️Matatizo katika tendo la ndoa: kwa mfano, kukosa hamu ya tendo la ndoa au matatizo ya uume kusimama kwa muda mrefu ili kukamlisha tendo la ndoa.
➡️Maumivu, uvimbe kwenye maeneo ya korodani
➡️Kupungua kwa nywele za usoni au za mwilini au ishara nyingine za dosari za homoni.
➡️Korodani kusinyaa/,kuingia ndani
wa.me/255656303019

Sababu Za Mwanamme Kuwa Na Upungufu Wa Mbegu

✍🏻Tendo la kutengeneza mbegu za mwanamme lina vipengele vingi sana na linahitaji afya nzuri ya korodani na tezi za pituitary na hypothalamus: tezi katika ubongo zinazotengeneza homoni na zinazoruhusu utolewaji wa mbegu. Mbegu zilizotengenezwa ndani ya korodani husafirishwa kupitia mirija myororo hadi zitakapochanganywa na shahawa na kutolewa nje kupitia uume. Tatizo lo lote katika mlolongo huu linaweza kuathiri utolewaji wa mbegu bora.

✍🏻Kunaweza kujitokeza matatizo katika maumbile ya mbegu au utembeaji wa mbegu. Kwa kawaida ni vigumu kulijua tatizo hili la kuwa na upungufu wa mbegu za kiume.

➡️Varicocele. Varicocele ni kuvimba kwa veni zilizomo ndani ya mfuko wa ngozi unaoshikilia korodani. Hii ni moja ya sababu kubwa ya ugumba kwa mwanamme.
Varicoceles husababisha mapungufu katika ubora wa mbegu.

➡️Maambukizi. Baadhi ya maambukizi yanaweza kuathiri uzalishaji wa mbegu au afya ya mbegu au kusababisha makovu yatakayozuia mtiririko wa mbegu. Hii ni pamoja na maambukizi kwenye epididymis (epididymitis) au korodani (orchitis) na baadhi ya magonjwa ya kuambukiza kama gonorrhoea au UKIMWI.

➡️Matatizo Katika Umwagaji Mbegu. Mbegu zaweza kuingia kwenye kibofu cha mkojo (retrograde ejaculation) wakati mwanamme anapofika kileleni badala ya kutoka kupitia uume. Baadhi ya sababu zinaweza kulisababisha hili au kushindwa kutoa shahawa, zikiwa ni pamoja na kisukari, kuumia uti wa mgongo, upasuaji wa kibofu cha mkojo, tezi dume au urethra.

Kuna madawa mengine yanayoweza kuleta matatizo ya umwagaji mbegu, kama dawa za blood pressure zinazojulikana kama alpha blockers.

➡️Kingamwili (Antibodies) kushambulia mbegu. Kingamwili (anti-sperm antibodies), seli za mfumo wa kinga za mwili ambazo kwa bahati mbaya hutambua mbegu kama vivamizi katika mwili na hujaribu kuziharibu.

➡️Uvimbe. Kansa na uvimbe wa aina nyingine usio na madhara vinaweza kuuathiri mfumo wa uzazi wa mwanamme moja kwa moja, kupitia tezi zinazotoa homoni zinazohusiana na uzazi, kama tezi ya pituitary. Upasuaji, mionzi au tiba ya chemotherapy zinazotolewa kutibu uvimbe vinaweza kuathiri uwezo wa mwanamme wa kuzalisha.

➡️Korodani ambazo hazijashuka. Wakati kiumbe akiwa anakua tumboni korodani moja au zote zinaweza kushindwa kuteremka hadi kwenye mfuko wa pumbu kutoka tumboni. Watu wenye hali hii wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kuwa wagumba.

➡️Hormone imbalances. Tezi ya pituitary, hypothalamus na korodani huzalisha homoni muhimu katika utengenezaji wa mbegu mwilini. Mabadiliko katika homoni hizi, na mabadiliko katika mifumo ya tezi za thyroid na adrenal, huathiri uzalishaji wa mbegu.

➡️Matatizo katika mirija ya kusafirisha mbegu. Mirija ya aina nyingi inahusika katika usafirishaji wa mbegu. Mirija hii inaweza kuziba kwa sababu nyingi, ikiwa ni pamoja na kuumia kwa bahati mbaya katika upasuaji, maambukizi au kuota kwa vitu kama cystic fibrosis.

Kuziba kunaweza kutokea kwenye hatua yo yote, ikiwa ni pamoja na ndani ya korodani, kwenye mirija inayotoka kwenye korodani, ndani ya epididymis, ndani ya vas diferens, au ndani ya urethra.

➡️Dosari za chromosome. Dosari za kiurithi kama Klinefelter’s syndrome, ambapo mwanamme anazaliwa akiwa na chromosomes mbili za X na moja ya Y badala ya moja ya X na moja ya Y: zinasababisha ukuaji wa viungo vya uzazi vya kiume usio wa kawaida. Matatizo mengine ya kiurithi yanayohusiana na ugumba ni cystic fibrosis, Kallmann’s syndrome na Kartagener’s syndrome.

➡️Celiac disease. Tatizo katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula linalosababishwa na usikivu wa mwili kwa gluten, ugonjwa uitwao celiac disease unaweza ukasababisha ugumba kwa mwanamme. Ugumba unaweza kuondoka baada ya kula chakula kisicho na gluten.

➡️Baadhi Ya Tiba. Tiba ya Testosterone replacement therapy, matumizi ya dawa za kansa (chemotherapy), baadhi ya dawa za fungus na antibiotics, baadhi ya tiba za vidonda vya tumbo, vinaweza kuathiri utengenezaji wa mbegu na kusababisha ugumba.

➡️Kemikali za viwandani. Kuwa karibu kwa muda mrefu na benzene, toluene, xylene, herbicides, pesticides, organic solvents, rangi na madini ya lead kunaweza kuchangia matatizo ya kuwa mbegu chache.

➡️Metali nzito. Kuwa karibu na lead na madini mengine mazito kunaweza kusababisha ugumba.

➡️Mionzi au X-rays. Kuwa karibu na mionzi kunaweza kupunguza uzalishaji wa mbegu. Inaweza kuchukua muda mrefu kabla uzalishaji haujarudi na kuwa sawa. Mionzi mikali inaweza kusababisha upungufu wa mbegu wa milele

➡️Joto kali kwenye korodani. Joto kali linaharibu uzalishaji wa mbegu na ubora wake. Kuoga maji ya moto, mathalani, kunaweza kupunguza uzalishaji kwa muda fulani. Kukaa kitako kwa muda mrefu, kuvaa nguo za kubana, kufanya kazi kwenye laptop au kompyuta kwa muda mrefu vinaweza kuongeza joto kwenye korodani ma kupunguza uzalishaji wa mbegu.

➡️Matumizi ya dawa. Matumizi ya anabolic steroids kwa ajili ya kuipa nguvu misuli yanaweza kusababisha korodani kusinyaa, na kupunguza uzalishaji wa mbegu. Matumizi ya cocaine na marijuana yanaweza kupunguza idadi na ubora wa mbegu.

➡️Matumizi ya pombe na vinywaji vikali vya Caffein. Kunywa pombe knaweza kupunguza homoni ya testosterone na kupunguza uzalishaji wa mbegu.

➡️Kazi. Baadhi ya kazi zinahusishwa na ugumba, zikiwemo uchomeleaji wa vyuma (welding), au zinazomtaka mtu kukaa kwa muda mrefu, kama kuendesha magari makubwa.

➡️Uvutaji wa sigara. Watu wanaovuta sigara wanaweza kuwa na mbegu pungufu ukilinganisha na wale ambao hawavuti.

➡️Msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo wa muda mrefu, na msongo kuhusu uwezo wa kuzalisha, unaaweza kuathiri uzalishwaji wa mbegu.

➡️Unene. Unene unaweza kuathiri uwezo wa kuzalisha mbegu kwa namna nyingi.

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi.
What's app/call
+255656303019
~Chief Sang'ida
 
Hii mpya jamani...
Hao wanawake uliwaambia unataka mtoto? Na wao walikua tayari??
au unadhani mimba ni kama maji ya kunywa yanaingia tuu unapoyanywa...
 
Back
Top Bottom