ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hoja nimeikubali hii.Wakati mwingine hoja siyo kutokujiamini, bali sababu inaweza kuwa pia mila na desturi; ambapo kuangalia sana mtu usoni inaweza tafsiriwa kama ukosefu wa adabu.
Ukiwa na tabia kama hii nchi za Ulaya nk hutaaminika. Just jitahidi sana ubadilike. Hata ukienda kwenye interview yoyote unatakiwa uwaangalie machoni unaozungumza nao.Hili ni tatizo la kisaikolojia ambalo nimegundua watu Wengi tunalo.
Mtu mnaonge yeye anaangalia chini.
Hoja nimeikubali hii.
Basi itakuwa mila mbovu sana. Mbona kabila langu ukiongea bila kumuangalia mtu machoni unadhani kuwa mtu mbaya. Hata sehemu waliyostaarabika ukifanya hivyo utaonekana hauko sawa. Ndiyo maana hata customer care workers wanatakiwa kumuangalia mteja machoni wakati wanazungumza.Wakati mwingine hoja siyo kutokujiamini, bali sababu inaweza kuwa pia mila na desturi; ambapo kuangalia sana mtu usoni inaweza tafsiriwa kama ukosefu wa adabu.
Kumbe hili ni tatizo la wengi? Ohoo my God. Badilikeni. Mimi ukiwa mgeni ndiyo kwaaanza naona kuna umuhimu wa kuangaliana machoni wakati wa mazungumzo.Kwa mtu ambaye umezoeana naye kila siku unaonanan naye kama oficini au mitaani kumuangalia machoni inakuwa ni rahisi,tatizo ni pale ambapo uliyekutana naye ni mtu ambaye hamujazoeana naye mfano mgeni wako au jamaa tu mumekutana naye sehemu na kuanza kupiga naye story.
Ndio maana likawa ni kabila lako na sio kabila la mwingine.Basi itakuwa mila mbovu sana. Mbona kabila langu ukiongea bila kumuangalia mtu machoni unadhani kuwa mtu mbaya. Hata sehemu waliyostaarabika ukifanya hivyo utaonekana hauko sawa. Ndiyo maana hata customer care workers wanatakiwa kumuangalia mteja machoni wakati wanazungumza.
Classic one...Ukiwa na tabia kama hii nchi za Ulaya nk hutaaminika. Just jitahidi sana ubadilike. Hata ukienda kwenye interview yoyote unatakiwa uwaangalie machoni unaozungumza nao.
Usipifanya hivyo unaweza kufeli hata kama una sifa zinazotakiwa. Mara nyingi watu wanaoshindwa kuangalia wengine machoni wakati wa mzungumzo kuna jambo wanaficha au wanasema uongo
Sio mila na tamaduni zetu hizo! Tunaiga utamaduni wa nje huo!Hili ni tatizo la kisaikolojia ambalo nimegundua watu Wengi tunalo.
Mtu mnaonge yeye anaangalia chini.Ni uwoga na kukosa kujiamini. Ni vizuri tukaangalia wapi tunafeli.
Mimi binafsi watu walionizidi umri siwezi kuwakazia macho usoni ila watoto nawaangalia na wananielewa.
MmhHili ni tatizo la kisaikolojia ambalo nimegundua watu Wengi tunalo.
Mtu mnaonge yeye anaangalia chini.Ni uwoga na kukosa kujiamini. Ni vizuri tukaangalia wapi tunafeli.
Mimi binafsi watu walionizidi umri siwezi kuwakazia macho usoni ila watoto nawaangalia na wananielewa.
Kwa watu wa aina ya uliyemtaja inaeleweka, si tu hutamwangalia, bali utakaa mbali.Kwa kipindi hiki cha covid-19 ni mbinu ya kujikinga na mvua za rasharasha toka kwa waongeaji staili ya kabudi na si tatizo la kisaikolojia wala uoga.
Ndiyo. Lakini sehemu na jamii nyingi, kuangalia mtu machoni wakati wa mazungumzo ndiyo tabia inayokubalika. Hujasikia watu wengi tu wanasema fulani huenda ni mwizi au mchawi kwani hathubutu kuangalia mtu machoni? Mambo yako hivi: 1. Unapoongea na mtu mtizame machoni. 2. Usimdokolee mtu macho kama ham-interact. (hii tabia wanayo sana wanaume wa Bongo kwa wanawake. Ukiwa majuu ukifanya hivyo utaonekana kama mwanga na mtu anaweza kukutukana)Ndio maana likawa ni kabila lako na sio kabila la mwingine.
IntrovertBinafsi siwezi tembea nimeinua sura hasa nikiwa napita mbele ya watu🤔
I know what's the matter though.