Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Sijasema usitumie hisia wala ubongo na viungo vingine ila nimesema macho ni njia mojawapo ya body language communication kama utumiavyo viungo vingine yana umuhimu wake nadhani hujanielewa!Na nimesema sio kukodoleana macho pia soma unielewe!Kumtazama mtu akiongea sio kutaka attention we unatokea sayari gani?mfano upo kwenye job interview unaongea huku unaangalia chini inatoa ishara gani huwezi hata kujieleza na kukutanisha macho na mtu lolNitapenda unifundishe hilo, vipi siye ambao tunapenda kusikiliza na kuelewa kutumia masikio na ubongo zaidi kuliko macho. Watu mnaopenda kukazia macho watu mnaoongea nao mtakuwa na hulka ya kutowaamini wengine au mna hisia kali za kudanganywa au kusalitiwa....au tuseme mnapenda attention sana hasa mademu.