Let me sabuskraibu to this uziBinafsi napenda sana kutazamana na mtu usoni, ni rahisi sana kutambua pale mtu anapokua anasema uongo kwa wale tunaojua kumsoma mtu machoni ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi kabisa,macho hayadanganyiMacho huwa yanasoma codes
Watu wa Asia huwa hawamwangalii mtu usoni anayemzidi umri au cheo nazani ni mila na desturi ata sisi kwa kabila letu binti kukuangalia usoni ni utovu wa nidhani na wanaweza kumuhisi ameshakuwa kulumbembe.Basi itakuwa mila mbovu sana. Mbona kabila langu ukiongea bila kumuangalia mtu machoni unadhani kuwa mtu mbaya. Hata sehemu waliyostaarabika ukifanya hivyo utaonekana hauko sawa. Ndiyo maana hata customer care workers wanatakiwa kumuangalia mteja machoni wakati wanazungumza.
Mila mbovu ni tafsiri yakoBasi itakuwa mila mbovu sana. Mbona kabila langu ukiongea bila kumuangalia mtu machoni unadhani kuwa mtu mbaya. Hata sehemu waliyostaarabika ukifanya hivyo utaonekana hauko sawa. Ndiyo maana hata customer care workers wanatakiwa kumuangalia mteja machoni wakati wanazungumza.
SikweliHoja nimeikubali hii.
Kweli kabisa binti au kijana mdogo kumkazia macho mtu mzima ni utovu wa nidhamu, ingawaje inategemea uhusiano binafsi na huyo mtu na aina ya mazungumzo.......hata wazungu hawapendi hii tabia ya kumkazia mtu macho, inaweza kuchukuliwa kama sign ya intimidation....kwa marafiki na watu mliozoeana mnaweza kutazamana machoni au wapenzi kwa ajili ya kupata attention au mahaba kwa mwenzako....Watu wa Asia huwa hawamwangalii mtu usoni anayemzidi umri au cheo nazani ni mila na desturi ata sisi kwa kabila letu binti kukuangalia usoni ni utovu wa nidhani na wanaweza kumuhisi ameshakuwa kulumbembe.
Nitapenda unifundishe hilo, vipi siye ambao tunapenda kusikiliza na kuelewa kutumia masikio na ubongo zaidi kuliko macho. Watu mnaopenda kukazia macho watu mnaoongea nao mtakuwa na hulka ya kutowaamini wengine au mna hisia kali za kudanganywa au kusalitiwa....au tuseme mnapenda attention sana hasa mademu.Nadhani hii inatokana na kutokujiamini na aibu.Kwenye mawasiliano kuna kitu kinaitwa "body language"na macho ni part mojawapo. Kama mtu hasemi ukweli utamjua kupitia hilo,ana simanzi/furaha utajua pia,ana tamani /vutiwa au anadharau utajua.
Katika maongezi ni muhimu kutazamana machoni inatoa kithibitisho kwamba upande wa pili upo pamoja nawe,unakufatilia/sikiliza na kukuelewa.Isiwe kama kukodoleana macho ila macho yanakutana at certain times 👀
Which in actual sense it's not true hence no need to bother. Always keep an eye contact.Wakati mwingine hoja siyo kutokujiamini, bali sababu inaweza kuwa pia mila na desturi; ambapo kuangalia sana mtu usoni inaweza tafsiriwa kama ukosefu wa adabu.