Tatizo la kushindwa kumuangalia mtu usoni mkiwa mnaongea

Sijasema usitumie hisia wala ubongo na viungo vingine ila nimesema macho ni njia mojawapo ya body language communication kama utumiavyo viungo vingine yana umuhimu wake nadhani hujanielewa!Na nimesema sio kukodoleana macho pia soma unielewe!Kumtazama mtu akiongea sio kutaka attention we unatokea sayari gani?mfano upo kwenye job interview unaongea huku unaangalia chini inatoa ishara gani huwezi hata kujieleza na kukutanisha macho na mtu lol
 
Ukitazama mbele kwa interviewers ni lazima kuwakazia macho, mimi kumtazama mtu machoni labda nina ishu serious na yeye....mfano demu mkali kama wewe nitavutiwa zaidi kukutazama machoni and throughout....
 
Ukiona mtu hakutazami anamisha macho jua kuna mengi ndani yake ikiwemo udanganyifu
 
Kuna tofauti kubwa ya kumwangalia mtu usoni na kumwangalia machoni.
Watu wengi huangaliana usoni na sio machoni.

Kumkazia dume mwenzio macho usoni ni kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…