Hii kitu umesoma kwenye kitabu manake umehamisha mutatis nafikiri unataka tu kuthibisha
Mzizi mkavu,, mimi Muislam nina umri wa maika 46 sasa, dua nasoma falaq, nas, na fat ha ila kuna wakati huwa nasahau,, ila issue hapa ni kuwa hata kusinzia tu wakati nikiwa barazani au mahala popote pale ninapokua nahisi usingizi maana dua husomwa wakati wa kulala,, sasa hata sebuleni nisome dua ya kulala?? nadhani kuna shida zaidi ya hiiMkuu.@msumeno wewe ni Dini gani? una miaka mingapi? Je unapotaka kulala unaomba dua gani?
Mkuu.@msumeno ingawa hujaniambia kuwa umeowa na unasema[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=17819" said:msumeno[/URL];7034249]Mzizi mkavu,, mimi Muislam nina umri wa maika 46 sasa, dua nasoma falaq, nas, na fat ha ila kuna wakati huwa nasahau,, ila issue hapa ni kuwa hata kusinzia tu wakati nikiwa barazani au mahala popote pale ninapokua nahisi usingizi maana dua husomwa wakati wa kulala,, sasa hata sebuleni nisome dua ya kulala?? nadhani kuna shida zaidi ya hii
Mkuu.@msumeno ingawa hujaniambia kuwa umeowa na unasema
unaomba hizo dua lakini bado unastuka stuka mwanzoni mwa kupata usingizi hiyo ni dalili kuwa wewe unaye shetani
mwanamek ndio anaye kuchezea wewe wakati unapo pata usingizi.
Dalili za kuonyesha wewe una shetani mwilini mwako ni hizi hapa haswa unapokuwa umelala kwenye ndoto. Ikikutokea
moja kati ya hizo hapo inaonyesha wewe una shetani ikiwa ni Mwanamme basi utakuwa na shetani
Mwanamke na ikiwa wewe ni mwanamke basi utakuwa na shetani Mwanamme.
DALILI za kuwa shetani KATIKA NDOTO.
A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.
B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.
C. KUOTA UNAPIGWA.
D.NDOTO ZA KUOGELEA.
E. NDOTO ZA KUPAA.
F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.
G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.
H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.
I.KUOTA UNAPIGANA.
J.KUOTA UNAPIGA KELELE.
K.KUOTA MOTO MKUBWA.
L. KUOTA UNAZIKA.
M.KUOTA UMEKUFA.
N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.
O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.
P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.
R.KUOTA UNAONA VISUGUU.
S. Wakati wa kulala Kustuka Stuka usingizini.
AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.
BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.
CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.
DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.
EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..
FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE
NA KITAMBAA CHEUPE.
GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.
HH.KUOTA VIBUYU.
II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.
KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .
HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI . Ukita Dawa na ushauri zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Nami hii kitu huwa inanitokea sana ila nimeambiwa ni dalili za jini mahaba sasa sijui kama nikweliMkuu.@msumeno wewe ni Dini gani? una miaka mingapi? Je unapotaka kulala unaomba dua gani?
Jichunguze utakuja kugunduwa na ukiw aynalaal usiku uanota unafanya mapenzi ndani ya usingizi na mwanamke ujijuwe unaye huyo jini mahaba ndio anaye kuharibia masisha yako yote.Hutoweza kuowa au kuwa na mke au kwua na mpenzi muda mrefu mutakuwa munagombana bila ya sababu yoyote ile.Nami hii kitu huwa inanitokea sana ila nimeambiwa ni dalili za jini mahaba sasa sijui kama nikweli
Prince kunta nitafute humu kiongoz0629992422Nami hii kitu huwa inanitokea sana ila nimeambiwa ni dalili za jini mahaba sasa sijui kama nikweli
Waungwana nina tatizo linalonikumba kwa takriban miezi sita sasa, nikiwa katika hali ya kutaka kulala yaani zile sekunde za mwanzo kabisa za kusinzia nashtuka kana kwamba kuna mtu anaminitikisa hivi.
Naamka nikitaka kulala tena inanitokea sijui kama nimejieleza vizuri ila ni kuwa nashtukashtuka wakati wa mwamzo wa kulala tu baada ya hapo nalala sana ,, usingizi kwangu sio shida kabisa naweza lala hata kwenye kelele kubwa.
Matabibu na wajuzi wa tiba humu JF, muungwana mzizi mkavu na wengine wote mlo jaaliwa ujuzi na Mola wetu. Assalam aleikum, Shalom nawaombeni msaada wenu