msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Waungwana nina tatizo linalonikumba kwa takriban miezi sita sasa, nikiwa katika hali ya kutaka kulala yaani zile sekunde za mwanzo kabisa za kusinzia nashtuka kana kwamba kuna mtu anaminitikisa hivi.
Naamka nikitaka kulala tena inanitokea sijui kama nimejieleza vizuri ila ni kuwa nashtukashtuka wakati wa mwamzo wa kulala tu baada ya hapo nalala sana ,, usingizi kwangu sio shida kabisa naweza lala hata kwenye kelele kubwa.
Matabibu na wajuzi wa tiba humu JF, muungwana mzizi mkavu na wengine wote mlo jaaliwa ujuzi na Mola wetu. Assalam aleikum, Shalom nawaombeni msaada wenu