Tatizo la kushtuka shtuka mwanzaoni mwa kupata usingizi

Tatizo la kushtuka shtuka mwanzaoni mwa kupata usingizi

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,734
Waungwana nina tatizo linalonikumba kwa takriban miezi sita sasa, nikiwa katika hali ya kutaka kulala yaani zile sekunde za mwanzo kabisa za kusinzia nashtuka kana kwamba kuna mtu anaminitikisa hivi.

Naamka nikitaka kulala tena inanitokea sijui kama nimejieleza vizuri ila ni kuwa nashtukashtuka wakati wa mwamzo wa kulala tu baada ya hapo nalala sana ,, usingizi kwangu sio shida kabisa naweza lala hata kwenye kelele kubwa.

Matabibu na wajuzi wa tiba humu JF, muungwana mzizi mkavu na wengine wote mlo jaaliwa ujuzi na Mola wetu. Assalam aleikum, Shalom nawaombeni msaada wenu
 
Sala kabla ya kulala ni muhimu ndugu
 
Hii kitu umesoma kwenye kitabu manake umehamisha mutatis nafikiri unataka tu kuthibisha
 
Hii kitu umesoma kwenye kitabu manake umehamisha mutatis nafikiri unataka tu kuthibisha

Wallah sijasoma nilijariu sana kuitafuta kwenye wesite nimeshindwa kutafuta neno fupi litakalo isaidia search engine kunipa majibu ,, so mimi ni mtu mzima siwezi kucheza na watu katika jamo muhimu kama hili la maradhi kama unajua nisaidie tu
 
Mkuu.@msumeno wewe ni Dini gani? una miaka mingapi? Je unapotaka kulala unaomba dua gani?
Mzizi mkavu,, mimi Muislam nina umri wa maika 46 sasa, dua nasoma falaq, nas, na fat ha ila kuna wakati huwa nasahau,, ila issue hapa ni kuwa hata kusinzia tu wakati nikiwa barazani au mahala popote pale ninapokua nahisi usingizi maana dua husomwa wakati wa kulala,, sasa hata sebuleni nisome dua ya kulala?? nadhani kuna shida zaidi ya hii
 
Last edited by a moderator:
[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=17819" said:
msumeno[/URL];7034249]Mzizi mkavu,, mimi Muislam nina umri wa maika 46 sasa, dua nasoma falaq, nas, na fat ha ila kuna wakati huwa nasahau,, ila issue hapa ni kuwa hata kusinzia tu wakati nikiwa barazani au mahala popote pale ninapokua nahisi usingizi maana dua husomwa wakati wa kulala,, sasa hata sebuleni nisome dua ya kulala?? nadhani kuna shida zaidi ya hii
Mkuu.@msumeno ingawa hujaniambia kuwa umeowa na unasema

unaomba hizo dua lakini bado unastuka stuka mwanzoni mwa kupata usingizi hiyo ni dalili kuwa wewe unaye shetani

mwanamek ndio anaye kuchezea wewe wakati unapo pata usingizi.

Dalili za kuonyesha wewe una shetani mwilini mwako ni hizi hapa haswa unapokuwa umelala kwenye ndoto. Ikikutokea

moja kati ya hizo hapo inaonyesha wewe una shetani ikiwa ni Mwanamme basi utakuwa na shetani

Mwanamke na ikiwa wewe ni mwanamke basi utakuwa na shetani Mwanamme.

DALILI za kuwa shetani KATIKA NDOTO.

A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.

B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.

C. KUOTA UNAPIGWA.

D.NDOTO ZA KUOGELEA.

E. NDOTO ZA KUPAA.

F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.

G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.

H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.

I.KUOTA UNAPIGANA.

J.KUOTA UNAPIGA KELELE.

K.KUOTA MOTO MKUBWA.

L. KUOTA UNAZIKA.

M.KUOTA UMEKUFA.

N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.

O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.

P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.

R.KUOTA UNAONA VISUGUU.

S. Wakati wa kulala Kustuka Stuka usingizini.

AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.

BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.

CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.

DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.

EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..

FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE

NA KITAMBAA CHEUPE.

GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.

HH.KUOTA VIBUYU.

II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.

KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .

HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA

KWA UFUPI . Ukita Dawa na ushauri zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Inshaallah nitakuandika maalimu shukran jazelan
 
ni jambo la kawaida boss wala usisumbuke... litatokea ukiwa una stress, umechoka au unamsongo wa mawazo.... unaweza kumia antidepressant lakin tatizo likiwa kubwa
 
Nami hii kitu huwa inanitokea sana ila nimeambiwa ni dalili za jini mahaba sasa sijui kama nikweli
Jichunguze utakuja kugunduwa na ukiw aynalaal usiku uanota unafanya mapenzi ndani ya usingizi na mwanamke ujijuwe unaye huyo jini mahaba ndio anaye kuharibia masisha yako yote.Hutoweza kuowa au kuwa na mke au kwua na mpenzi muda mrefu mutakuwa munagombana bila ya sababu yoyote ile.
 
Waungwana nina tatizo linalonikumba kwa takriban miezi sita sasa, nikiwa katika hali ya kutaka kulala yaani zile sekunde za mwanzo kabisa za kusinzia nashtuka kana kwamba kuna mtu anaminitikisa hivi.

Naamka nikitaka kulala tena inanitokea sijui kama nimejieleza vizuri ila ni kuwa nashtukashtuka wakati wa mwamzo wa kulala tu baada ya hapo nalala sana ,, usingizi kwangu sio shida kabisa naweza lala hata kwenye kelele kubwa.

Matabibu na wajuzi wa tiba humu JF, muungwana mzizi mkavu na wengine wote mlo jaaliwa ujuzi na Mola wetu. Assalam aleikum, Shalom nawaombeni msaada wenu

Habari,

Hii hali inaitwa Hypnic jerks.
Kuna sababu nyingi zinazohusishwa na hali husika kama: wasiwasi, matumizi ya vinywaji vya kusisimua mwili kama kahawa, sigara, pia stress, kazi au mazoezi ya nguvu wakati wa jioni na uchovu uliopitiliza.

Hali hii huweza kuwapata watu wenye afya njema na haina muunganiko na tatizo kubwa la kiafya. Mwendelezo wa hali hii huweza kuwa chanzo cha wasiwasi na kukosa usingizi.

Utatuzi: ni kurekebisha yaliyotajwa hapo juu. Pia kama hali isipoweza kudhibitiwa kwa marekebisho hapo, dawa za kusaidia watu kupata usingizi huweza kuwa sehemu ya tiba.
 
Back
Top Bottom