Tatizo la kusinyaa kwa mapesheni

Huwa hatuhitaji mbolea zenye Nitrogen katikà kipindi cha tunda maana hizi ni kwa ajili ya ukuaji hivyo hapo mbolea rasmi ni zile zenye Potassium na Calcium iwe kwa kuweka chini (Basal fertilizer) au Foliar fertilizer mfano ni Yara mila Nitrobar (Potassium) na Calcinity (Calcium) na kwa foliage ni mult k (Potassium) na Calmax (Calcium) pia puliza sumu ya wadudu wanaofyonza plant sap hasa zenye Imidacloprid au Cypemethrylin mfano duduba au imida C
 
Watu Wa Kilimo Toeni Connection
Acheni Kukaa Kimya
 
Mdau Vipi ulifanyia kazi mrejesho,matokeo yalikuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…