Tatizo la kusinyaa kwa mapesheni

Tatizo la kusinyaa kwa mapesheni

CHRISSIE255

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2020
Posts
221
Reaction score
180
Wadau samahani naombeni kujua tatizo la mapasheni kusinyaa na kudondoka chini kabla ya kukomaa.

FB_IMG_15818453016250754.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa hatuhitaji mbolea zenye Nitrogen katikà kipindi cha tunda maana hizi ni kwa ajili ya ukuaji hivyo hapo mbolea rasmi ni zile zenye Potassium na Calcium iwe kwa kuweka chini (Basal fertilizer) au Foliar fertilizer mfano ni Yara mila Nitrobar (Potassium) na Calcinity (Calcium) na kwa foliage ni mult k (Potassium) na Calmax (Calcium) pia puliza sumu ya wadudu wanaofyonza plant sap hasa zenye Imidacloprid au Cypemethrylin mfano duduba au imida C
 
Watu Wa Kilimo Toeni Connection
Acheni Kukaa Kimya
 
Mdau Vipi ulifanyia kazi mrejesho,matokeo yalikuwaje

Back
Top Bottom