Natumaini wazima wana JF,
Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.
Stress mtu wangu, badilisha mfumo wa maisha ukitoka kazini fanya mazoezi na michezo michezo.
umepungua uzito kiasi gani kwa miezi hiyo 6?
na je, una matatizo mengine kama homa au?
Stress mtu wangu, badilisha mfumo wa maisha ukitoka kazini fanya mazoezi na michezo michezo.
Hiyo itakupunguzia budget kichizi, au ndio mwili haujengwi kwa matofali!
Njaa unasikia au husikii pia?
Kacheki kama una minyoo sometimes huwa ina sababisha kupoteza hamu.Natumaini wazima wana JF,
Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.
Hivi kwanzia 2009 anaweza akawa bado ana hilo tatizo ehhhh??Kacheki kama una minyoo sometimes huwa ina sababisha kupoteza hamu.
Changia inaweza kumsaidia mtu mwingineHivi kwanzia 2009 anaweza akawa bado ana hilo tatizo ehhhh??