tatizo la kutojisikia kula.

tatizo la kutojisikia kula.

Narumba

Member
Joined
Jan 11, 2009
Posts
34
Reaction score
1
Natumaini wazima wana JF,
Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.
 
umepungua uzito kiasi gani kwa miezi hiyo 6?
na je, una matatizo mengine kama homa au?
 
Natumaini wazima wana JF,
Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.

Hiyo itakupunguzia budget kichizi, au ndio mwili haujengwi kwa matofali!

Njaa unasikia au husikii pia?
 
Stress mtu wangu, badilisha mfumo wa maisha ukitoka kazini fanya mazoezi na michezo michezo.
 
Stress mtu wangu, badilisha mfumo wa maisha ukitoka kazini fanya mazoezi na michezo michezo.

Na aina ya chakula unachokula badilisha pia, kwa mfano kama ni mlaji sana wa nyama basi badilisha angalau ule maharage manake kula aina moja tu ya chakula husababisha pia hilo tatizo. Pia pendelea kula matunda mara kwa mara kwani nayo husaidia kuleta ladha tofauti mdomoni hivyo ksaidia hamu ya kula.
 
Hata me mwenzio hl tatzo limenikumba yani tangu jana cjala, labda matunda na chai kdogo.
 
mzee dawa ndogo sana. We funga kula tu. Usile kitu chochote hata maji usinywe kuanzia asubuhi mpaka jion saa moja. Ikifika jioni anza kwa kula vitu laini laini vya moto kama uji, maji yasiyobaridi sana au juice. Afu kula tambi baada ya saa moja waweza kula msosi mgum. Fanya hivi mara tatu kwa wiki. Unaweza kuruka siku mojamoja. Inaaminika kuwa kufunga kunasaisia kwa sababu baadhi ya minyoo tumboni hufa kwa joto kali la tumbo.
 
Natumaini wazima wana JF,
Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.
Kacheki kama una minyoo sometimes huwa ina sababisha kupoteza hamu.
 
Back
Top Bottom