Natumaini wazima wana JF,
Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.