George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ngoja na Mimi nijaribu hiyo.Nafikiri halina tiba
Mimi nina miaka kadhaa navaa miwani,na bila miwani siwezi kabisa
Huwa naivua nikilala ama nikienda kuoga tu
Kuna mbaba alinambia tatizo la kutoona mbali linaeza kutibiwa/kupungua kwa kuamka asubuhi na kuangalia majani/maua ya kijani kila siku kwa nusu saa...nilishindwa
Nilishindwa kwasababu kwetu hakuna majaniNgoja na Mimi nijaribu hiyo.
Lakini kwanini ulishindwa..?
Tangu nikiwa bwana mdogo sana nimekuwa nikitamani kuwa Mwanajeshi.Umbali gani huo mpaka unashindwa kutimiza ndoto zako???
Sawa kiongozi...Pole sana mkuu
Emu jaribu kutumia maji kwa wingi zaidi lita 2 za maji
Ahahaaaaah...Nilikua na hilo tatizo nikatafuta dawa weeee nikachoka,nikala karoti kama sungura lakini wapi!
Mwisho wa siku hua natembea na miwani yangu nikitaka kuangalia vitu vilivyo mbali navaa lakini nikiwa natembea kawaida tu sivai ni mpaka nitake kuona mbali ambapo image ya hiyo object inakue bruised
Ahahaaaaah...
Hatari sana...
Sasa mkuu haupishani na watu unaowafahamu njiani bila kuwasalimia kweli..?
Maana mimi kuna kipindi nilikua nafanya kama wewe,cases za kuwapita watu njiani bila kuwasalimia zikawa nyingi sana,ikanibidi niwe naivaa kila muda(isipokua nikiwa nyumbani tu)..!
Pia nafikiri kushika miwani mkononi au kuiweka mfukoni inaleta usumbufu kidogo..!
Natania,sina muda wa kukaa nusu saa naangalia majaniReally..?
πππ
Huku kwetu hawakuchukui kiongozi..!Mbona majeshi ya ulaya na america tunaona watu wana miwani jeshini,huku kwetu ukiwa na hili tatizo hawakuchukui kabsa?
Sasa mbona miwani ukivaa muda wote ndo kama vile inaongeza shida, siku zinavoenda naona hata tv nashindwa kuona vizuri yani inakua haiko clear bila miwaniPia kuna kipindi miwani yangu ilipasuka...
Nilipokwenda hospital kupima kwaajili ya kutengenezewa miwani mingine nikakuta namba ya lenzi imebadilika(tatizo la kutokuona mbali limeongezeka)...
Daktari akaniuliza kama huwa navaa miwani muda wote au sivai muda wote..!?
Nikamwambia huwa navaa nikiwa darasani na nikiwa naangalia TV tu..!
Daktari wa macho akanambia natakiwa kuvaa miwani muda wote,coz nisipofanya hivyo tatizo litakua linaongezeka kidogo kidogo,hivyo itanilazimu kubadili lenzi mara kwa mara..!
HAKUNAMATATA