George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Habari zenu wanajukwaa nimekua na tatizo la kuona mbali kwa muda mrefu sana,tatizo lililopelekea nitumie miwani ya macho kama kisaidizi cha kuniwezesha kuona vizuri.
Nalichukia hili tatizo maana linanifanya nishindwe kutimiza ndoto zangu nimejitahidi kula karoti na mchicha kama nilivyoelekezwa na baadhi ya watu,lakini sioni mabadiliko hivi ni kweli hili tatizo halina tiba..?