Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

Vijana wa sasa wanaendekeza ngono kuliko mustakabali wa maisha yao, halali muende VETA.

Mnachosha na mambo yenu ya kiwaki. Mxxxiiieew
we ngono ishakuchoka kila mtu ana-prime yake wengine ndiyo kwenye prime unataka tuwaze ngono at 50's
 
Sasa km uko kwenye prime, na bado hukidhi vigezo, huoni kuwa hiyo ngono haikuhusu?

Fanya mambo mengine, poleee sanaa.
 
Kama unapiga punyeto acha kabisa. Kam ulikuwa mpiga punyeto maarufu, kaa mbali na wasichana kwa muda hata miaka miwili huku ukifanya mazoezi ya kuimariaha misuli yako.
 
Kama unapiga punyeto acha kabisa. Kam ulikuwa mpiga punyeto maarufu, kaa mbali na wasichana kwa muda hata miaka miwili huku ukifanya mazoezi ya kuimariaha misuli yako. La sivyo watakuwa wanasema unawatia shombo!
nyeto sigusi boss ila kwenye balehe nimehusika
 
nyeto sigusi boss ila kwenye balehe nimehusika
Naweza kusema asilimia kubwa ya wanaume kqenye balehe wamepiga punyeto, wapo ambao walipiga kidogo na kupata madhara kiasi na wapo ambao wamepata madhara makubwa.

Punyeto inalegeza breki, manii yanaweza kutoka kabla hata ya kuingiza. Hiyo ni aibu.

Kwa umri wako, piga mazoezi ya kuimarisha nguvu na kaa mbali na wasichana.

Mazoezi utayapata wapi, nenda youtube
 
kwenye swala la mazoezi comrade nipo vizuri
 
Hiyo ni hali ya kawaida. Haihusiani na nyeto wala kitu chochote kibaya.
 
Thubutuu, km hao wengine ukiwa papasa unakojoa shahawa, basi kwangu utamwaga kojo kabisa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ahahah nitumie picha PM nione kama itakua kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…