immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
Mimi ni kijana umri miaka 20, nimekuwa nikipata changamoto ya kutoa majimaji ya sperm pindi nipo kwenye foreplay yani ile na kutomasa tomasa demu najikuta sperm zishaanza kuchuluzika au hata nikiwa na chart na demu mambo ya mapenzi mapenzi(ngono).
Naomba msaada kwa hili na njia ya kuzuia hii mambo wakuu.
Naomba msaada kwa hili na njia ya kuzuia hii mambo wakuu.