Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

Kijana wangu
Hiyo inatwa Pre-ejaculation mucus au precum.

Ni ute mweupe usio na rangi,yanayotoka kabla ya kutoka shahawa.

Kwanini yanatoka.

Yanasafisha njia ya shahawa (sperms)zipite zikiwa salama.

Legacy.
safi kwa kunijuza ila changamoto ni kuwa unapata precum hata ukiwa unamchezea TU demu au kuchart mambo ya mapenzi
 
Back
Top Bottom